Nipo na uhitaji wa ajira ya usalama wa nchi, nina vigezo hivi

Unajua vetting changamoto yake ni wanaotafuta taarifa zako hawakupi nafasi wewe kutolea ufafanuzi baadhi mambo ndiomana wengi wanakosa unakutana na Wana wanakusiribia kinomaπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
yaani hapo unasulubishwa na washkaji zako kinoma hukuwahi tegemea
 
Asante mkuu .

I receive (nimepokea)

Ila tuendelee Ku-chase dreams

Lengo sio kufanya umbea Ila lengo ni kushare uwezo wangu na kuisadia nchi in positive way .

Umbeya ni jukumu Namba Moja la usalama, Sasa kama lengo Lako soo Hilo hujui unachokiomba.

Usalama is all about information, data. Umbeya ni Moja ya Mbinu ya kupata au kukusanya data
 
Twambie hayakwanza kazi njenje
-baba mzazi wa SSH anaitwa nani tunazidi kuwaona walimu wake na aliosoma nao(tutafutie),hili mosi
Pili kwenye ubaya
Kati ya SAMIA HAsan suLUHU
na
Tundu antipass mgwai LIsu ,nani MBAYA kwa nchi?
 
Kwani huko usalama wanafanyaga kazi gani mkuu hadi utamani kiasi hicho?!
Erick Bernad
 
Nipigie simu tujue tunafanyaje utaweza kutunza siri mbona unaonekana kama mzaramo mbea mbea sana.....haya nipigie simu haraka sana
 
Same characteristics here. Kila lakheri namesake!
 
Huwezi kupata tafuta kazi nyingine za mikono za kuingiza kipato io achana nayo kwanza una majivuno sana
 
Wale wana vyuo maalum na masomo yao ni maalum pia siyo wote wanaohitimu hupewa hiyo kazi.

Sema miaka hii wanawaweka ndugu zao na ndiyo inaharibu kipenyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…