Nipo na uhitaji wa ajira ya usalama wa nchi, nina vigezo hivi

hela unayo? Kama ipo uje pm niku connect na dingi mana yupo kitengo mi nilimkatalia baada ya kuona napatiwa kadi ya chama cha mbogamboga nikamwambia mzee kama uzalendo ni kutumika na chama bora nikabebe dish la ndizi
 
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.

I hold this qualifications

Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.

Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya

Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.

Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.

Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
Elimu yako...
 
Wako wapi kina Nikifa MkeWangu Asiolewe au? Na waze3 wa hovyo wanaoukula ulanzi asubuhi asubuhi kina MENEMENE TEKERI NA PERESI
Nasikitika kuona kuwa nadharaulika sababu ya starehe yangu ya ulanzi Ila ninachofurahia nimekulia kwa hao watu wa system na itoshe kusema nimeishi nao na bado naishi nao hivyo haka kajamaa kanitafute kikubwa kaje na hela ya ulanzi ,Mimi nakapa namba ya kitengo mmoja habari za kujieleza ni juu yake na namba kapata wapi hayanihusu
 
Shape ur perception

Dunia na maisha kijumla MTU huwa anatazama MTU sahihi na sio yule anayempenda.

Linapokuja swala la fursa watu huwa wanaangalia mambo mengi Sana.

Unaweza kupata fursa kupitia MTU ambaye hamna hata undugu wowote.

So it is better to be positive , destiny helpers wapo sehemu yoyote

Don't underrate the power of social networks
Ndugu msaikolojia naomba unisaidie kutuliza moyo wangu ,huyu kijana jobless ndugu Kalaga Baho Nongwa amenitendea kosa Mimi na ulanzi wangu asijue niko Mikumi nakuja anipeleke kununua sahani za mifupa Ila mpaka hapo wacha nirudi kijijini huyu atautweza utu wangu siku nzima.
 
Kitendo cha kutangaza kuiomba hiyo kazi, umeikosa. Pili umetangaza ina maana fridge lako haligandishi. Ungefanya kwa chinichini sana. Una connection?????
 
Nasikitika kuona kuwa nadharaulika sababu ya starehe yangu ya ulanzi Ila ninachofurahia nimekulia kwa hao watu wa system na itoshe kusema nimeishi nao na bado naishi nao hivyo haka kajamaa kanitafute kikubwa kaje na hela ya ulanzi ,Mimi nakapa namba ya kitengo mmoja habari za kujieleza ni juu yake na namba kapata wapi hayanihusu
Mtoa mada sema na watu! Wenyewe hawa hapa
 
Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.

I hold this qualifications.

Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.

Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya.

Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.

Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.

Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
Nenda kajiangalie kwenye kioo alafu zungumza hayo maneno mbele ya Yule unayemuona kwenye kioo.

Utapata jibu la uhakika wewe ni MTU wa Aina gani
 
Back
Top Bottom