Joannah
JF-Expert Member
- May 8, 2020
- 20,921
- 49,014
Mbona una panic sana?20s ndio kitu gani huna akili wewe hufai
Unaulizwa umri unajibu 20s hopeless kabisa mleta mada
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona una panic sana?20s ndio kitu gani huna akili wewe hufai
Unaulizwa umri unajibu 20s hopeless kabisa mleta mada
Umesikia Wapi?Lazima uwe UV CCM
KheewKirahisi hvo?
Ebu ntumie ratiba ya SGR dar Moro Leo
Issue serious anajibu majibu ya kijiweniMbona una panic sana?
Wewe kama ulishapata si umkonect mwezio?ualimu ulishaacha?Hongera Sana
Cha kukushauri
Tumia mitandao vizuri Jamiiforum kuna watu narudia tena kuna watu
Naongea kwa uzoefu.
Sehemu unafatilia na Mimi nilikuwa Kama wewe.
Zama hizi sehemu ambayo unabidi kuitumia vizuri ni katika social networks ni rahisi kukutana na destiny helper
JF kuna watu amini kwamba.
All the best .
AiseeeeIssue serious anajibu majibu ya kijiweni
Wako wapi kina Nikifa MkeWangu Asiolewe au? Na waze3 wa hovyo wanaoukula ulanzi asubuhi asubuhi kina MENEMENE TEKERI NA PERESIHongera Sana
Cha kukushauri
Tumia mitandao vizuri Jamiiforum kuna watu narudia tena kuna watu
Naongea kwa uzoefu.
Sehemu unafatilia na Mimi nilikuwa Kama wewe.
Zama hizi sehemu ambayo unabidi kuitumia vizuri ni katika social networks ni rahisi kukutana na destiny helper
JF kuna watu amini kwamba.
All the best .
Wewe kama ulishapata si umkonect mwezio?ualimu ulishaacha?
Mtoa mada wanakuja huko pm ila ukumbuke wao wemyewe wana ndugu zao huku mitaani. Madem zao na mashemej zao majoblessWakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.
I hold this qualifications
Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.
Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya
Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.
Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.
Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
🤣🤣🤣Sijui hata nacheka ninjKhaaaa
Serious nini wewe mzee acha utapeliIssue serious anajibu majibu ya kijiweni
Mimi sio mjuzi sana wa hii kada Ila jitahidi sifa hizi unazo orodhesha ndio hizo hizo watu wako wa karibu wanaweza kuzisema kuhusu wewe.Wakuu ninahitaji Sana kuwa usalama wa Taifa.
I hold this qualifications
Mimi ni very humble na Mkimya na nina uwezo wa kutunza siri Sana.
Nina uwezo wa kufanya intelijensia kujua huyu MTU ni mzuri au Mbaya
Nipo visionary - nina upeo mkubwa na maono wa kupangilia mambo yajayo kuhusu nchi na raia wake.
Sina EGO - kujikweza nina heshimu kila MTU na kuweza kuishi na WATU vizuri sio rahisi mtu anifahamu kiundani.
Najua hapa jukwaani kuna viongozi wakubwa naimani watanishika mkono ili nikatumie hazina yangu katika kuisaidia nchi yangu TANZANIA
We jaribu uchawa tu wa CCM utaonaUmesikia Wapi?
Wewe kama ulishapata si umkonect mwezio?ualimu ulishaacha?
Kama usalama kukuchukua mpaka waulize kwa watu kuhusu tabia zako basi acha inchi ipigwe mnadaMimi sio mjuzi sana wa hii kada Ila jitahidi sifa hizi unazo orodhesha ndio hizo hizo watu wako wa karibu wanaweza kuzisema kuhusu wewe.
Jitahidi watu wako wa karibu wajue taarifa zako muhimu kuhusu wewe, marafiki zako waweze kusema mazuri kuhusu wewe, marafiki wa wazazi wako waweze kutoa taarifa sahahi kuhusu wewe.
maana itatokea huenda mathalani wamependa ujasiri wako Ila taarifa zako zikawa na mkanganyiko au watu wako wa karibu wakaleta ushirikiano hafifu na taarifa zisizo endana ukakosha kazi unayo ipenda.
Sawa mwalimu,nimekuelewa vyema.Ualimu ni wito siwezi kuacha kufundisha na kutoa ELIMU
Naweza nisiwe darasani Ila hapa jukwaani huwa na-share maarifa yangu kwa kias chake katika social networks zangu nyingine.
Kuhusu kumpa connection kijana mkuu Mimi hiyo sehemu sina MTU namjua
Ila jambo ambalo naweza kumwambia JF ni sehemu sahihi ya kukutana na destiny helper
Aendelee kuwa positive tu
Maana watu wengi anaangalia tu jinsi unavyojielezea na kukufata PM Ila wazee wa kukomenti huwa Mara nyingi ni negative people
So kijana aendelee kupambana atafanikiwa..
Ah wapi mkuu.. dunia vitu vingine vya wachache tujitahid kuambiana na kuukubali ukweli. Jf majobles kibao hum na rais wao ni mm. Kwa nn mtoa mada asishikilie hapohapo alipo afanye maisha mengine?. Hii kaz hata mm niliipenda sana kuna kipindi nilisoma sana vitabu vya espionage.. nikaona kuna haja y kuish maisha halis niachane na maisha ya expectationsMimi sio mjuzi sana wa hii kada Ila jitahidi sifa hizi unazo orodhesha ndio hizo hizo watu wako wa karibu wanaweza kuzisema kuhusu wewe.
Jitahidi watu wako wa karibu wajue taarifa zako muhimu kuhusu wewe, marafiki zako waweze kusema mazuri kuhusu wewe, marafiki wa wazazi wako waweze kutoa taarifa sahahi kuhusu wewe.
maana itatokea huenda mathalani wamependa ujasiri wako Ila taarifa zako zikawa na mkanganyiko au watu wako wa karibu wakaleta ushirikiano hafifu na taarifa zisizo endana ukakosha kazi unayo ipenda.
Kuna kupigwa paipu sio kupenda mtelezo kitonga utachanwa lindaWe jaribu uchawa tu wa CCM utaona
Kila jambo na taratibu zake. Kuna kitu huwa nasikia watu wakiita "vetting" Kama sijalikosea.Kama usalama kukuchukua mpaka waulize kwa watu kuhusu tabia zako basi acha inchi ipigwe mnada