Nipo nawaza...

Mahali mnakaa nyieb wawili mnabagain?Hapo hakuna ndoa ,ikifungwa itavunjika tu.
 
Hii ndoa itakua ngumu sana kama Mke ndo wewe, labda kama muoaji ni Mfaza asie na time ila kutia mimba na kuhudumia tu.
Ila kama ni kijana bila kujali ni Mtumish au Mnyama basi kesi zitakua nyingi sana🤣
 
Nafikiri zingefika dakika tano kungekua na uwezekano wa kuzimia ama kuchaganyikiwa..... zaidi sana jamaa aliyelipa 7M kwa mdada anayeuliza hili swali ni uonevu😂
 
Nimekuelewa! Sasa hela ni ya mwanao ya kwenda kutoa mahari, wewe macho yanakutoka ya nini?

Pesa ya kawaida kabisa hiyo!
Namkandiaje sasa...ww hizi milioni 10 unazo?.fufanye ndo wewe yani unaenda kuoa..hapa nawazungumzia..kaka zangu..watoto wangu wa kiume baadae..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…