Mzee wa kusawazisha
JF-Expert Member
- Nov 30, 2016
- 1,601
- 1,172
- Thread starter
-
- #21
Asantee mkuu Kwa ushauri unanishauri niwanunue wangap Kwa majaribio mkuuSafisha banda kisha
Nunua dawa inaitwa V rid. Pulizia bando Mara mbili kabla hujaleta wengine
Asantee Sana mkuuKama no banda basi nunua kuna dawa za kusafishia mabanda jina nmelisahau ila kama sikosei inaitwa VIRD
Tuko pamoja mkuu ila kuhusu dawa naona kuna mdau hapo juu kaiweka vizuri hiyo wengi huwa tunatumia kusafishia mabandaAsantee Sana mkuu
Ilikuaje mkuu nisaidie Kwa msaada japo Nam niweze kupata ujuziHii kitu iliwahi kunigharimu,nilipoteza nusu ya kuku kwenye banda langu,lakini bado ilikuwa nisomo kwangu kwani sasa hivi nafanya vizuri kiasi..
Nashukuru mkuu dah ila nawaza Sana kuhusu ili jamboTuko pamoja mkuu ila kuhusu dawa naona kuna mdau hapo juu kaiweka vizuri hiyo wengi huwa tunatumia kusafishia mabanda
Walikua kumi mkuu na matetea wanaokaribia kutaga.. Sikupeleka Kwa doctor ila kilikua kideri mkuu niliwapa dawa ila haikusaidia kitu
Usiwaze sana jipe muda wa kutafakari kabla hujafuga japo unaweza kumtafuta mtaalamu wa mifugo akakuongezea elimu zaidiNashukuru mkuu dah ila nawaza Sana kuhusu ili jambo
Niliwapa Ile ya matone mkuuItakuwa ulikosea masharti labda newcastle na gomboro ni chanjo muhimu huwa zinakaa kwenye barafu.
Unawapa kuku kabla barafu haijayeyuka.
Pia unawanyima kuku maji wawe na kiu ili waweze kunywa maji kwasababu hiyoo nguvu Yake inaisha kwa masaa ukishaweka kwenye maji kama hawajanywa kwa huo mda itaexpire na haita saidia.
Asantee mkuuJaribu tena waliofanikiwa hawaogopi risk
Asantee mkuu Kwa ushauri unanishauri niwanunue wangap Kwa majaribio mkuu
Nitajitaidi Sana. Mkuu Kwa jambo hiliUsiwaze sana jipe muda wa kutafakari kabla hujafuga japo unaweza kumtafuta mtaalamu wa mifugo akakuongezea elimu zaidi
Ushauri mzuri huu.Ukitaka kufuga kuku fuata kanuni za kitaalam za ufugaji. Usifuge kiholela utalia. Pia usiishi na kuku bali fuga kuku
Hongera Sana chief nimekuelewa SanaNi nguvu yako tuu.
Chukua 15
Hakikisha Newcastle na gomboro unawapa.
Mara moja moja uwe unawapa alovera unakatakata unawawekea kwenye maji.
Umenikumbusha mbali nikiwa chuo nilianzaga kufuga kama wewe nikaanza na mia mpaka wakafika 800.
Asantee Kwa Kunis aidia Kwa ushauriUshauri mzuri huu.
Hakikisha kuku wako wanapata chanjo za magonjwa mbalimbali kwa wakati na wanapata chakula na maji ya kutosha. Kuku wa kienyej ni mradi rahisi sana kuuendesha kwa wewe mwanafunzi.
Hongera Sana chief nimekuelewa Sana
Sawa utekelezaji mwemaNitajitaidi Sana. Mkuu Kwa jambo hili
Nashukuru mkuu nitajitaidi Sana mkuuUnakishaanza kufuga utakuwa unatoa mrejesho kwa huu Uzi ili tukupe hints.
Sawa mkuu ngoja nijitafakari upyausimamizi pia ni muhimu kwa iyo itabidi upange mda wako vizuri