Nipo Nyamisati, nimeambiwa nilale siku mbili ndipo nitapata usafiri wa kuelekea Mafia

Unakwenda Huko Epuka Nyama Sana Vinginevyo Kasa Atakulaza
 
Inawezekana maana Mv Kilindoni ya Serikali iko kwenye ukarabati, meli iliyopo now ni ile private.

Ila kabla Mv Kilindoni kuja safari zilikuwa J2, j5 na Ijumaa tu, nilienda huko 2020.
 
Duh...Tanzania hii hii....

Wapi Mama.
 
Ukiganikiwa kugika Mafia kawasalimie Jumba la Dhahabu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…