Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Wewe ndie Monicca wa kule Badoo dot com?
 
ahsante. Uneolewa? yapi matarajio/mikakati yako ktk swala zima la kuinua vijana wenye elimu kama yako ambao bado hawajapata mwanga wa kipi cha kufanya?? je ni masters ya mambo gani uliyosomea
Maswali ya kitoto haya kila mtanzania msomi kakaririshwa jinsi ya kujibu.
 
Bado najiuliza umuhimu wa kichwa juu ya uo mwil wako. Masters za kukalil hiz
Kwa maana ata majbu unayotoa hayaendan na elimu ya form six (achilia mbal masters)
Single mothers mna-stress sana. Katka angle niliyokaa nakuona kama special group unaoitaj msaada wa jamii iliyokuzunguka.
Kwa kuwa nimemuuliza swali kwa post hii anataka nipitie post zake za nyuma ndiyo jibu la swali langu lilipo..!![emoji33]

Sasa nauliza kichwa cha post kinasemaje na kwa nini hakijasema kama anavyotaka?
 
1) Ukiwa na masters ya uchumi Je imeleta faida gani kwenye maisha yako na nchi yako?
2) Kama ukipata nafasi ya kuteuliwa kuwa waziri wa uchumi utaanza na ajenda ipi ili kuukuza uchumi wa nchi?
3) Kwanini umechukuwa masters ya uchumi wakati nchini kwetu haitoi kipaumbele kwa wachumi?
4) Mpaka sasa umefaidika vipi na elimu yako? Pia umesema wewe ni mfanyabiashara ni biashara ya mazao?
5) Kitu gani unapendelea kufanya na kuleta furaha kwako? Mfano ukiwa na mpenzi wako unapendelea akufurahishe au mfurahishane? Je una tenga muda wa familia na muda wa kucheza na familia na muda wa masomo kwa mtoto na wewe mwenyewe?.
6) Nitajie vitabu vi3 unavyopenda kusoma, movies 3 unazozipenda, na sehemu 3 ungependelea kwenda?
daaaaaah nimekupenda bureeee,
akijibu ayo maswali nishtuee nipate elim kidogoo
 
Kwa kuwa nimemuuliza swali kwa post hii anataka nipitie post zake za nyuma ndiyo jibu la swali langu lilipo..!![emoji33]

Sasa nauliza kichwa cha post kinasemaje na kwa nini hakijasema kama anavyotaka?
Achana nae uyo n kiaz kama viaz vingine
 
wanawake wanaotafuta wana ume JF wanakuja kwa mbinu nyingi sana. wanaume miaka hii ni bidhaa adimu na inaelekea kutoweka kabisa. maana kuna thread unajua tu huyu anatafuta mwanaume wa kumwoa ila anashindwa kuwa wazi.
 
Back
Top Bottom