Hili halikuhusu
Naomba nikuongezee folowaz insta [emoji4]Picha si hiyo hapo avatar lakini Malcom? Hiyo huwezi amini sina inayonionyesha sura. Yenye sura iko instagram. Hiyo hata kwenye simu yangu iko hivyo
Acha kudanganya darling mbona mchezo wetu? Luv u moreHapana sijawa na sihitaji
Umewahi kuf**wa?Kama kichwa kinavyojieleza.
Niulize chchte kuhusu mimi ..karibuni
Kweli mkuu, huo Uzi unaninyima raha, unanipa mawazo potofu , yaani najitahidi kuwaambia mods waufute ila hawatakiMkuu huo uzi huwa unapotea halafu shetani anaurudisha tena ilimradi jina lake lipate kuishi
Maswali ya kitoto haya kila mtanzania msomi kakaririshwa jinsi ya kujibu.ahsante. Uneolewa? yapi matarajio/mikakati yako ktk swala zima la kuinua vijana wenye elimu kama yako ambao bado hawajapata mwanga wa kipi cha kufanya?? je ni masters ya mambo gani uliyosomea
Kwa kuwa nimemuuliza swali kwa post hii anataka nipitie post zake za nyuma ndiyo jibu la swali langu lilipo..!![emoji33]Bado najiuliza umuhimu wa kichwa juu ya uo mwil wako. Masters za kukalil hiz
Kwa maana ata majbu unayotoa hayaendan na elimu ya form six (achilia mbal masters)
Single mothers mna-stress sana. Katka angle niliyokaa nakuona kama special group unaoitaj msaada wa jamii iliyokuzunguka.
daaaaaah nimekupenda bureeee,1) Ukiwa na masters ya uchumi Je imeleta faida gani kwenye maisha yako na nchi yako?
2) Kama ukipata nafasi ya kuteuliwa kuwa waziri wa uchumi utaanza na ajenda ipi ili kuukuza uchumi wa nchi?
3) Kwanini umechukuwa masters ya uchumi wakati nchini kwetu haitoi kipaumbele kwa wachumi?
4) Mpaka sasa umefaidika vipi na elimu yako? Pia umesema wewe ni mfanyabiashara ni biashara ya mazao?
5) Kitu gani unapendelea kufanya na kuleta furaha kwako? Mfano ukiwa na mpenzi wako unapendelea akufurahishe au mfurahishane? Je una tenga muda wa familia na muda wa kucheza na familia na muda wa masomo kwa mtoto na wewe mwenyewe?.
6) Nitajie vitabu vi3 unavyopenda kusoma, movies 3 unazozipenda, na sehemu 3 ungependelea kwenda?
Jibu ni ndiyo! Thibitisha moniccca babyUmewahi kuf**wa?
Naomba nikuongezee folowaz insta [emoji4]
Achana nae uyo n kiaz kama viaz vingineKwa kuwa nimemuuliza swali kwa post hii anataka nipitie post zake za nyuma ndiyo jibu la swali langu lilipo..!![emoji33]
Sasa nauliza kichwa cha post kinasemaje na kwa nini hakijasema kama anavyotaka?
HahahahhahaMbona una majibu ya darasa la 4 wakati unasema una masters?
Kiazi mbatata au?Achana nae uyo n kiaz kama viaz vingine
GuDume aliwahi kuwa sukari ya warembo ya JF!Avator ndo nini?
Ahhahahahah
Vipi hivyo vile vya chura eenh
Mmmmmh
Sijawahi kugombaniwa na hata mmoja kati yaoKwanini GuDume na Chizi Maarifa walikuwa wanakugombania?