He akitokea mwanamke mwingine anayejitambua, uthubutu Na jasiri utasema yule ni wewe?
Kwanini mkuuWalahii bro mungu anakuona
🙌🙌🙌🙌🙌
Kwa nini ukaachikaNiliolewa nikaachika
Una masters ya kitu gani?Master's
Hizi tuhuma dhidi yako unazichukuliaje?Monicca ni mwanaume anaejifunika uanamke
Sijui kisa ni nn, hilo analijua mwenyewe
Kuna mda enzi izo alikosea kukoment kwenye uzi flan hivi na kuonesha uhalisia wake ni mwanaume ila akauedit
Mwenye akili akiunganisha mada zote alizoleta na kuangalia timeframe atajua tu
Moja ya evidence ni hii
View attachment 922189
Umejuaje kama yeye anavaa? Ulishamuona amevaa chupi?Wewe ni mtabiri?Ndiyo navaa kama wewe unavyo vaaa
Je, unahitaji mwanaume wa mkoani , wazee wa shughuli mm nipoBado zipo
KwaniniNiliolewa nikaachika
Kwanini kwenye avatar yako umetugeuzia matako? Na je? unamjua konki....konki.... Konki Master?
Hizi tuhuma dhidi yako unazichukuliaje?
kweli kabisa mkuuAtakujibu ila sio ontime
Ana account nying
Si unajua tena kero ya kulogg inn and out kila mda kwenye accnt tofaut tofaut
Normally mtu wa kawaida lazima aingie jf multiple times