Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Hahahahaa.. nimeficha nisijulikane sana. Nafuata maelekezo ya kutumia avatar zetu au zinazoendana na sisi. Sasa hiyo ni mimi nimeficha sura ya baba tu hapo
Naomba niinunue hiyo avatar yako tafadhali
 
Haya naomba niletewe mbege lita 5 na kisusio kg 5 niianze weekend mie![emoji39][emoji39][emoji39]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nimepapenda hapo kwenye kisusio kg 5.
Ombi lako limeshaanza kushughulikiwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…