Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahsante. Uneolewa? yapi matarajio/mikakati yako ktk swala zima la kuinua vijana wenye elimu kama yako ambao bado hawajapata mwanga wa kipi cha kufanya?? je ni masters ya mambo gani uliyosomeaPicha yangu halisi ni hiyo hapo kwa avator
Hpn nafanya dietHahahahahaha watu wanapenda wawe ajenda kwa wenzao. Yaani umekataa kujibu watu unaokutana nao kila siku na wanaokuomba hata namba za simu. Ila unakuja huku kwa jina feki unataka uulizwe maswali.
Oooook leo umekula ??
...State the law of Marginal diminishing returnUchumi
Kama hujataka kuonyesa sura yako ungeweka avatar kama ya mzigua90 kaonekana ila hajageuza tako unless kutuwekea tako unazidi kutufanya tuogope kuwemo kwenye list ya kaka oil.Kwasababu sijataka kuonesha sura yangu
Hahahaha pole sanaKama hujataka kuonyesa sura yako ungeweka avatar kama ya mzigua90 kaonekana ila hajageuza tako unless kutuwekea tako unazidi kutufanya tuogope kuwemo kwenye list ya kaka oil.
Ukinipa condom unipe na demu, ukinionyesha kalio......
Kwa sasa una mpango gani? Je, watoto unao wangapi?Niliolewa nikaachika
kama hiki ndicho kigezo chako cha GO / NO GO basi umebugi men!...State the law of Marginal diminishing return