Nipo online niulize chochote kuhusu mimi

Monicca ni mwanaume anaejifunika uanamke
Sijui kisa ni nn, hilo analijua mwenyewe
Kuna mda enzi izo alikosea kukoment kwenye uzi flan hivi na kuonesha uhalisia wake ni mwanaume ila akauedit

Mwenye akili akiunganisha mada zote alizoleta na kuangalia timeframe atajua tu

Moja ya evidence ni hii
IMG_0371.JPG
 
nashangaa mnahangaika kuulizana wakati mwenye uzi hajajibu hata swli moja anawachora tu
 
Pole sina mpango wa kuolewa
Hakikisha baadaye huwasumbui wachungaji, mitume na manabii kukuombea ili upate mume, hii kauli ya kiburi cha ujana imewagharimu wadada wengi.

Yani usichana wako unakula na mtu mwingine halafu uje kutalajia kuolewa na boya lingine! Jitafakari this is chitchat thou.
 
Monicca ni mwanaume anaejifunika uanamke
Sijui kisa ni nn, hilo analijua mwenyewe
Kuna mda enzi izo alikosea kukoment kwenye uzi flan hivi na kuonesha uhalisia wake ni mwanaume ila akauedit

Mwenye akili akiunganisha mada zote alizoleta na kuangalia timeframe atajua tu

Moja ya evidence ni hii
View attachment 922189
Hilo nalo ni swali?
 
Mara ya kwanza kutolewa bikra ni mwaka gani na ulijiskiaje?
 
Hakikisha baadaye huwasumbui wachungaji, mitume na manabii kukuombea ili upate mume, hii kauli ya kiburi cha ujana imewagharimu wadada wengi.

Yani usichana wako unakula na mtu mwingine halafu uje kutalajia kuolewa na boya lingine! Jitafakari this is chitchat thou.
Sitarajii kupenda tena, sina imani tena na watu wa jinsia hii, sina mpango wa kuwa na mahusiano tena ..hizi ni kauli ambazo mimi huwa naona ni za kinafiki tu na mara nyingine huwa zinatumika kama chambo na kuvuta attention
 
Back
Top Bottom