Haha juzijuzi nlkuwa kijiweni na misokoto kazaa likaja defender wazee WA kazi waliruka defender likiwa linajiandaa kusimama tulikimbia sio poa mkuu nusu nivunje mguu ila kuna ambao walishikwa
Ila huwezi amini mkuu sahivi nimerudi palepale na wadau wangu tulionusurika majuzi