Nipo safarini usiku huu ila nina mashaka sana na mtu niliyekaa nae siti ya jirani

Loose ball hiyo ila kama hauna mpango nao usimuulize ulize maswali, jifanye upo bize na mambo yako[emoji41][emoji41]
Aisee nakupata nakupata mjumbe wa kula matunda kimasihara. Ila yupo vizuri tu sema tu mimi nijia wakati mbaya hiyo fursana.
 
Wakuu nipo kwenye bus naelekea Morogoro na nimefika maili moja kwasasa, bus nililopanda ni 2 by 2 na pembeni yangu kuna msichana ananitia mashaka mno namuhisia ni mtu wa tofauti nikimaanisha sio jamii yetu (binadamu).

Mashaka yangu yanaanzia wapi?

Huyu msichana ni mrembo halafu anaonekana mjanja fulani hivi lakini cha kunishangaza konda kamuomba jina na namba yake ya simu ili amuandikie tiketi kwa njia ya online lakini akasema namba hajaishika kichwani. Ikabdi konda achukue namba yangu ili aandike tiketi kwa niaba yake kisha mimi ndio nijue namfowadia vipi tiketi yake.

La pili simu yake hachati wala hapigiwi na wala nini, kaibwaga tu kwenye kikoba. Kwa mtoto wa kike kwa mida kama hii kusafiri lazima uulizwe ulizwe na ndugu au mchumba wako au mumeo kuwa umefika wapi kwasababu ni safari ya usiku sana lakini kwa huyu ni kimya kimya.

Ukimuuliza swali lolote anajibu kwa haraka sana halafu lazima aulize swali hilo hilo kwangu kwamba na wewe je. Morogoro tutaingia usiku sana kwanzia saa nane sasa kama ni kweli sio jamii ya binadamu nitamkacha vipi? Maana kama hana nua nzuri basi hata nikichukua pikipiki itakuwa bado sio salama kwangu.
Mdadisi kama anakuangalia sana machoni hata kama huna habari nae jua kuna tatzo hapo mkuu dua muhimu.
 
Naomba nitumie number yake tafadhali
 
Ingekuwa safari ya asubuhi au juoni nisingemuhisia vibaya ila hii ni safari ya usiku wa manane. Halafu kila kitu ajui yaaani hata anapoenda hapajui anachokijua ni msamvu tu basi anapoelekea baada ya msamvu hajui ni sehemu gani. Anasema babake ndiye atamuelekeza aahukue pikipiki anatakiwa aende kijiji gani.. tumefuka Ruvu hafanyi hata update kwa huyo babake kumjulisha kafika wapi.
Nyama hio inaelekea kwa Muuza Bucha hujaelewa nini hapo mkuu?

Akishuka boda boda anapewa Simu anaelekezwa eneo la tukio mtu anaenda kuchakatwa

Tushazoea wanazunguka Nchi nzima hadi Nchi za ng'ambo wakipata zari wanakwea pipa wanaenda
 
binafs nina kisa kama iki ila kipo tofauti kidogo ntakiweka, in relationship with anonymous, nina date na pis ya kiarab mwaka wa pili sijui saut yake, picha anani2mia ila kamwe na katu hajawai ongea nikamsikia wala sim apokei, ila nilishawah ulza why anip jib sahh
 
Nimewai safir na mtu ananiletea nyodo ktk gar nimefika babt nishuke nichuke kipaja Cha kuku bas Ni grecious kipind hcho mbeya Arusha kumbe demu anaringa kumbe Hana hell alivyongazwa nimeingia ka kifurushi changu. Akaanxa kutabasabu nikasema hapa unipati ilifika maahali akaomba nimnunulie hata maji mnk Hana lolote

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Ukageuka Kondoo au ukaendelea kua Mbuzi?
 
Acha woga ,Yan ivyo tu ndo umuhisi mtu kuwa si simtu...viashilia vyako vya kumhisi bado avitoshelezi...be coool nice journey
 
binafs nina kisa kama iki ila kipo tofauti kidogo ntakiweka, in relationship with anonymous, nina date na pis ya kiarab mwaka wa pili sijui saut yake, picha anani2mia ila kamwe na katu hajawai ongea nikamsikia wala sim apokei, ila nilishawah ulza why anip jib sahh
Mpigie video call
 
Wanasemaga majini huwa wananukia sana, vp huyo ananukia sana Marashi?
 
Wakuu shukrani kwa michango yenu nashukuru nimefika salama mpaka home. Nitaelezea mengineyo patakapokucha salama. Ila tu kwakifupi wazee wa kula tunda kimasihara ilikuwa ni kitoweo chao hiki.
 
Back
Top Bottom