Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 33,679
- 49,841
Jifanye umedondosha kitu chini,ili uweze kumtazama miguuHuyu hata akishikwa titi nadhani hatostuka kwasababu atafurahia kuona naingia kingi. Hapa katoa kanga ili ajifunike anasikia baridi, kaniambia eti tujifunike wote nikagoma. Siingii kingi kihivyo mimi
Aisee nakupata nakupata mjumbe wa kula matunda kimasihara. Ila yupo vizuri tu sema tu mimi nijia wakati mbaya hiyo fursana.Loose ball hiyo ila kama hauna mpango nao usimuulize ulize maswali, jifanye upo bize na mambo yako[emoji41][emoji41]
Mdadisi kama anakuangalia sana machoni hata kama huna habari nae jua kuna tatzo hapo mkuu dua muhimu.Wakuu nipo kwenye bus naelekea Morogoro na nimefika maili moja kwasasa, bus nililopanda ni 2 by 2 na pembeni yangu kuna msichana ananitia mashaka mno namuhisia ni mtu wa tofauti nikimaanisha sio jamii yetu (binadamu).
Mashaka yangu yanaanzia wapi?
Huyu msichana ni mrembo halafu anaonekana mjanja fulani hivi lakini cha kunishangaza konda kamuomba jina na namba yake ya simu ili amuandikie tiketi kwa njia ya online lakini akasema namba hajaishika kichwani. Ikabdi konda achukue namba yangu ili aandike tiketi kwa niaba yake kisha mimi ndio nijue namfowadia vipi tiketi yake.
La pili simu yake hachati wala hapigiwi na wala nini, kaibwaga tu kwenye kikoba. Kwa mtoto wa kike kwa mida kama hii kusafiri lazima uulizwe ulizwe na ndugu au mchumba wako au mumeo kuwa umefika wapi kwasababu ni safari ya usiku sana lakini kwa huyu ni kimya kimya.
Ukimuuliza swali lolote anajibu kwa haraka sana halafu lazima aulize swali hilo hilo kwangu kwamba na wewe je. Morogoro tutaingia usiku sana kwanzia saa nane sasa kama ni kweli sio jamii ya binadamu nitamkacha vipi? Maana kama hana nua nzuri basi hata nikichukua pikipiki itakuwa bado sio salama kwangu.
Naomba nitumie number yake tafadhaliWakuu nipo kwenye bus naelekea Morogoro na nimefika maili moja kwasasa, bus nililopanda ni 2 by 2 na pembeni yangu kuna msichana ananitia mashaka mno namuhisia ni mtu wa tofauti nikimaanisha sio jamii yetu (binadamu).
Mashaka yangu yanaanzia wapi?
Huyu msichana ni mrembo halafu anaonekana mjanja fulani hivi lakini cha kunishangaza konda kamuomba jina na namba yake ya simu ili amuandikie tiketi kwa njia ya online lakini akasema namba hajaishika kichwani. Ikabdi konda achukue namba yangu ili aandike tiketi kwa niaba yake kisha mimi ndio nijue namfowadia vipi tiketi yake.
La pili simu yake hachati wala hapigiwi na wala nini, kaibwaga tu kwenye kikoba. Kwa mtoto wa kike kwa mida kama hii kusafiri lazima uulizwe ulizwe na ndugu au mchumba wako au mumeo kuwa umefika wapi kwasababu ni safari ya usiku sana lakini kwa huyu ni kimya kimya.
Ukimuuliza swali lolote anajibu kwa haraka sana halafu lazima aulize swali hilo hilo kwangu kwamba na wewe je. Morogoro tutaingia usiku sana kwanzia saa nane sasa kama ni kweli sio jamii ya binadamu nitamkacha vipi? Maana kama hana nua nzuri basi hata nikichukua pikipiki itakuwa bado sio salama kwangu.
Tatizo linakuja kama huna hiyo imani na si mwaminiUhusiano wetu na Mungu ni jambo la muhimu sana katika maisha yetu, mambo kama haya ya uchawi hayawezi kumtisha mtu bali yenyewe yatatishika kwa mwenye imani.
Nyama hio inaelekea kwa Muuza Bucha hujaelewa nini hapo mkuu?Ingekuwa safari ya asubuhi au juoni nisingemuhisia vibaya ila hii ni safari ya usiku wa manane. Halafu kila kitu ajui yaaani hata anapoenda hapajui anachokijua ni msamvu tu basi anapoelekea baada ya msamvu hajui ni sehemu gani. Anasema babake ndiye atamuelekeza aahukue pikipiki anatakiwa aende kijiji gani.. tumefuka Ruvu hafanyi hata update kwa huyo babake kumjulisha kafika wapi.
Weka hapa 🤨binafs nina kisa kama iki ila kipo tofauti kidogo ntakiweka, in relationship with anonymous
Ukageuka Kondoo au ukaendelea kua Mbuzi?Nimewai safir na mtu ananiletea nyodo ktk gar nimefika babt nishuke nichuke kipaja Cha kuku bas Ni grecious kipind hcho mbeya Arusha kumbe demu anaringa kumbe Hana hell alivyongazwa nimeingia ka kifurushi changu. Akaanxa kutabasabu nikasema hapa unipati ilifika maahali akaomba nimnunulie hata maji mnk Hana lolote
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mpigie video callbinafs nina kisa kama iki ila kipo tofauti kidogo ntakiweka, in relationship with anonymous, nina date na pis ya kiarab mwaka wa pili sijui saut yake, picha anani2mia ila kamwe na katu hajawai ongea nikamsikia wala sim apokei, ila nilishawah ulza why anip jib sahh