Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5: any tribe(except mhaya)
6:honest and caring
7:hardworker
Na itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa anaishi Dar.

Tatizo mnakuwaga na ID nyingi nyingi, kuna mmoja namhifadhi alikuja na vigezo kama hivyo hivyo
 
Ni PM mimi ni Daktari MD ninakazi na mshahara mzuri, karibu nikubembeleze
 
umepotea rudi ulipokosea kwa njia hii kabla ya kufanya kitendo hiki ulitakiwa kuuliza wangapi walioana kwa njia uliyotumia na je ndoa zao zimedumu kwa kiasi gani
 
Dada Tulip1005 vigezo ninavyo tatizo niko mbali huku ughaibuni, lifikirie hilo.
 
Last edited by a moderator:
Hauko serious unachagua hata makabila kama haitosh elimu?

Kama elimu yako haijafika you are not short listed. Suala la Wahaya hata mimi namuunga mkono, watani zangu wana dharau sana, ni mimi tu kwa ujeuri wangu naweza kuoa muhaya.
 
Umeweka vigezo vya unaemtaka,na wewe weka vyako tukujue,usidhani tunarukia rukia ovyo af tunarukia janga.haya mwaga profile lako na picha juu tena sio ya foto point
 
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5: any tribe(except mhaya)
6:honest and caring
7:hardworker
Na itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa anaishi Dar.

Vigezo na masharti ni mengi sana. Tunaomba utoe job descriptions.
 
hata akili huna wewe yani tunashughulika na mliuaji wa kanisa we unaleta ukabila hapa
 
Mm nina vigezo hivyo vyote,ni PM tuanzishe libeneke!
Ufurahie tendo la ndoa na Mandingo kwa mara ya kwanza bibie;I'm waiting!
 
hi mi nipo tayari na nina vigezo vyote just giv me your e mail then tutakuwa tunachat kujuana kwanza
 
Hello friends!! Nina imani kwamba mume bora hutoka kwa Mungu, na Mungu anaweza akanikutanisha nae popote pale. Nahitaki mwenza wa maisha(mumu wa maisha) mwenye vigezo vifuatavyo.
1: awe tayari kwenda kupima UKIMWI
2:umri wa miaka 27-33
3:elimu, degree moja na kuendelea
4:a true Christian
5: any tribe(except mhaya)
6:honest and caring
7:hardworker
Na itakuwa vizuri zaidi kama atakuwa anaishi Dar.

naishi dar bhana nicheki basi km bado hujampata, ila sipo tayari kupima UKIMWI!!!!, ila wewe lazima upime, mm haka sithubutu!!!!!!
 
Back
Top Bottom