Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

Nipo serious kwa 100%(natafuta mume wa maisha)

Umeweka vigezo vya unaemtaka,na wewe weka vyako tukujue,usidhani tunarukia rukia ovyo af tunarukia janga.haya mwaga profile lako na picha juu tena sio ya foto point

hamkawii kuzingua nyie ... usiweke profile yako dada!!!!
 
Mungu akutangulie upate ulichoomba,unataka na picha kabla au ni hivyo vigezo tuu?
 
we nawe sasa uyo mume utampatia umu kwa wanaforums au? mtafutie ukouko mtaani kwenu bana,,alafu kupata mume au mke bora inatagemeana wewe ulijtunzaje apo kabla,kama ulikua hukutulia itabidi uombe mungu sana kumpata uyo mume mwenye hvo vgezo unavovitaka,,manake hvo vgezo tunavo anaume wachache mnooo
 
Kweli bana mhaya usithubutu...wanaume wao wanadharau na vicheche..cha ajabu mpk hawa wa kizazi cha dotcom wamerithi..m talking from experience
 
Ningependa niingie kwenye hii competetion ila kigezo cha miaka na elimu ndiyo vimeniangusha najuta kutozaliwa mapema bahati zinapita hivihivi duuu! Safari njema na hongera kwa atakayeshinda.
 
achana na ukabila dada, usitugawe watanzania, c tu wamoja.
 
Back
Top Bottom