Nipo serious sana katika hili, nahitaji mwanamke atakaye kuwa mke wa maisha yangu

Nipo serious sana katika hili, nahitaji mwanamke atakaye kuwa mke wa maisha yangu

Usitafute vita itakayokuondoa mapema sana .. Kiroho hizi imani mbili ni falme mbili zinazokinzana mno.. Kama unampenda sana ishini bila ndoa mtakuwa salama ...ni ushauri mbaya lakini ndio tiba sahihi
Sasa shemeji waishi bila ndoa then hawatozaa? Maana shida kubwa huwapata watoto.
 
Kikao kilimalizika kwa msimamo wa "ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu" hivyo nyie wengine msioe ili muipunguzie dunia na shurba zisizo za lazima. Au ulitoroka kabla kikao kumalizika?

Hebu pitia huu Uzi uone shuruba wapatazo wanaume waliooa.
Halafu Kuna wengine Utasikia ""Nipo kwa ajili ya wanangu tu""

Kuna raia wabishii.

RAHA JIPE MWENYEWE.

#YNWA
 

Hebu pitia huu Uzi uone shuruba wapatazo wanaume waliooa.
Halafu Kuna wengine Utasikia ""Nipo kwa ajili ya wanangu tu""

Kuna raia wabishii.

RAHA JIPE MWENYEWE.

#YNWA
Acha kulialia. Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu. Wasio na akili wakilazimisha mambo ndio hao sasa unaowaongelea. Angalau wajijue tu kama wewe wajiunge nawe ili mtupunguzie balaa duniani. Lakini pia msisahau kusisitizana kutokuzaa maana tutakuwa tumeepuka janga moja na kutengeneza lingine.
 
Mshana jr mfukua makaburi unakwama wapi mpare wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Chukua ushauri huu utakusaidia sana moja ya vitu muhimu kwenye mahusiano ya mke na mume ni suala la Imani
Anakurupuka kama kinda la ndege limetokana kwenye kiota kila anachoona anataka kula vingine sumu
 
Watu tulikubaliana hakuna kuoa, ama ww kwenye kile kikao uli doji?
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kasisitiza kaandika kwa herufi kubwa kabisaaaaaa [emoji23] em muache mwenzio ,sheria zimewekwa ili zivunjwe[emoji851]
 
Sasa shemeji waishi bila ndoa then hawatozaa? Maana shida kubwa huwapata watoto.
Shee takujibu kesho
JPEG_20220504_224831_628057536475790968.jpg
 
Nakuombea upate hitaji la moyo wako. Lakini hapo kwenye dini jitahidi mno upate wa imani yako.. Hii itakupunguzia sana vita na mivutano ya kiroho hasa litakapokuja suala la kuabudu
Umenena vyema.
 
Back
Top Bottom