Nipo serious sana katika hili, nahitaji mwanamke atakaye kuwa mke wa maisha yangu

Nipo serious sana katika hili, nahitaji mwanamke atakaye kuwa mke wa maisha yangu

Ila mkuu umesema una 35yrs lkn unataka mwanamke mpaka miaka 50!! Hii imekaaje mkuu??
Yani ninacho hitaji ni mtu sahihi kwangu mambo mengine sihitaji kivile cos amani na upendo kwenye mahusiano ni Muhimu kuliko vingine.
 
Kikao kilimalizika kwa msimamo wa "ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu" hivyo nyie wengine msioe ili muipunguzie dunia na shurba zisizo za lazima. Au ulitoroka kabla kikao kumalizika?

[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]umegusa mule mule…
 
Elim kuanzia form four na kuendelea huko hakuna wife material [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wife material la tano mwisho
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimecheka hakyanani
 
Elim kuanzia form four na kuendelea huko hakuna wife material [emoji1787][emoji1787][emoji1787] wife material la tano mwisho
Chini ya la saba ni wife material kwa form four kushuka chini..
 
Ngoja nije Pm tuyajenge mkuu [emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Daah kumbe tulikuwa tunapishana na gari la mshahara.


Miaka yote najua wewe ni me.

Dah.

Ukikosa fursa fungua moyo basi
 
Hii ni kwa wanawake tuu yani wanaume haiwahusu:

Nahitaji mwanamke ambaye mungu akipenda ndiye atakuwa mke wangu. Njoo pm kama ni muhitaji nitumie sms huko tukielewana utapata namba zangu za simu nami nitapata zako.

Sifa zangu:
Dini: Mkristo
Umri:35
Elimu: chuo kikuu(masters)
Kazi: Ni muajiliwa (government)pia ni mfanya biashara.
Ninako ishi: Dar es salaam.
Muonekano wangu: Si mnene wala si mwembamba sana, si mweusi wala mweupe sana.

Sifa za nimtakae:
Dini: yoyote
Umri: 18 - 50
Elimu: Kuanzia kidato cha nne na kuendelea.
Kazi: Awe ameajiliwa au kajiajili.
Anako ishi: Iwe popote ila ukiwa Dar es salaam itapendeza.
Muonekano wake: Awe anajipenda, msafi mwenye adabu, heshima na utii.

NB: awe tayari kupima afya.
Naamini kuna wengine watadharau na kukejeri ila ninacho amini mke au mume mwema anatoka kwa Mungu na Mungu humpa mtu kwa njia yoyote ile hivyo hata hapa ni njia tu na ninaweza mpata mwenza wangu.
Kila la kheri
 
Back
Top Bottom