Kumbe tangu 2020 alikuwa hajapataNahitaji mume aliye serious na maisha
Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni. Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]www.jamiiforums.com
Sasa shemeji waishi bila ndoa then hawatozaa? Maana shida kubwa huwapata watoto.Usitafute vita itakayokuondoa mapema sana .. Kiroho hizi imani mbili ni falme mbili zinazokinzana mno.. Kama unampenda sana ishini bila ndoa mtakuwa salama ...ni ushauri mbaya lakini ndio tiba sahihi
Kikao kilimalizika kwa msimamo wa "ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu" hivyo nyie wengine msioe ili muipunguzie dunia na shurba zisizo za lazima. Au ulitoroka kabla kikao kumalizika?
Acha kulialia. Ndoa ni kwaajili ya wanaume wenye akili tu. Wasio na akili wakilazimisha mambo ndio hao sasa unaowaongelea. Angalau wajijue tu kama wewe wajiunge nawe ili mtupunguzie balaa duniani. Lakini pia msisahau kusisitizana kutokuzaa maana tutakuwa tumeepuka janga moja na kutengeneza lingine.Ni hatua gani za kuchukua iwapo hakuna maelewano kwenye ndoa?
Ewe mwanandoa ulichukua au utachukua hatua gani endapo. Wewe na mwenzio mtafikia hatua ya kutoelewana ndani mmejaribu kuongea lakini hamna suluhu mwingine msaliti mwingine kusamehe nashindwa. Mmefika hatua hata mnagawana vitanda, mmoja akisafir hata WK 3 bila kupigiana cm, Tendo la ndoa...www.jamiiforums.com
Hebu pitia huu Uzi uone shuruba wapatazo wanaume waliooa.
Halafu Kuna wengine Utasikia ""Nipo kwa ajili ya wanangu tu""
Kuna raia wabishii.
RAHA JIPE MWENYEWE.
#YNWA
Mshana jr mfukua makaburi unakwama wapi mpare wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]Nahitaji mume aliye serious na maisha
Hello habari Mimi ni mdada nahitaji mume aliye serious namaisha sina mtoto, sifa awe mkiristo ila awe Kanda yaziwa mengine tutaelezana PM karibuni. Asante sana na Mungu awabariki [emoji120][emoji120]www.jamiiforums.com
Alikua anapiga kelele halafu amekaa back bencherWatu tulikubaliana hakuna kuoa, ama ww kwenye kile kikao uli doji?
Hayupo seriouslyHiki kigezo kinaonesha kama unafanya utani hapa[emoji4]
Anakurupuka kama kinda la ndege limetokana kwenye kiota kila anachoona anataka kula vingine sumuChukua ushauri huu utakusaidia sana moja ya vitu muhimu kwenye mahusiano ya mke na mume ni suala la Imani
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]kasisitiza kaandika kwa herufi kubwa kabisaaaaaa [emoji23] em muache mwenzio ,sheria zimewekwa ili zivunjwe[emoji851]Watu tulikubaliana hakuna kuoa, ama ww kwenye kile kikao uli doji?
Kila jambo lina wakati wake.. Na wakati ukitimia hakuna kizuizi tenaKumbe tangu 2020 alikuwa hajapata
Shee takujibu keshoSasa shemeji waishi bila ndoa then hawatozaa? Maana shida kubwa huwapata watoto.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Shee takujibu keshoView attachment 2211823
Umenena vyema.Nakuombea upate hitaji la moyo wako. Lakini hapo kwenye dini jitahidi mno upate wa imani yako.. Hii itakupunguzia sana vita na mivutano ya kiroho hasa litakapokuja suala la kuabudu