The Mongolian Savage
JF-Expert Member
- Jul 5, 2018
- 8,082
- 17,838
Cheka nini ww? Jikite kwenye madateh
Hahahaha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Cheka nini ww? Jikite kwenye madateh
Hahahaha
dah kijana umetisha 😛Futa sadaka weka mchele.....
Mwambie mkuuHayo matumizi mbona yapo juu sana mkuu, unataka ununue vitu vyote kama unaishi na demu babu.
Deile nunua visamaki vya buku vile au misumari (dagaa), nyanya. Monthly nunua kitunguu, mafuta na unga wa ugali tu. Hivyo ndio masela tunavyoishi!
Sasa we unataka ununue hadi hoho,binzari, letuce,gilgilani magetoni!? Utakwama tu!!!
kwa mwez unatumia shingap?Sitaacha kula kwa mama ntilie milele.......ukitaka kupika mwenyew lazima majanga kama hayo yakukute maana unataka kula vizuri zaidi ya migahawani
Hajui watoto wa kihuni tunaishije, hapo utakuta kanunua set ya vyombo vyote adi vijiko.
Picha linaanza muhuni anasufuria, bakuli na sahani moja, kupika inatangulia mboga linafata dongo paka haruki! Ukikosea mfumo.utapata tabu ya kuosha upya sufuria.
hayo madude hayanaga budget unakula msosi wa buku 5 unabutua maji ya laki.uzur cjaona bajet ya masanga hapo
hunywi pombe, huvuti sigara, huna demu. ww ni mtoto wa Yesu hakikamkuu hii bajeti ni wiki moja kma nilivyo specify , cm bando hua naunga la mwez, maji na umeme vipo ndo maana.
Sinywi pombe ,sivuti sigara na nimesema kua nipo single ( sina demu)
😂😂😂😂afu the way unavoongeza ndo yanakushawish unajikuta mpk unakunywa kodi ya pangohayo madude hayanaga budget unakula msosi wa buku 5 unabutua maji ya laki.
Huyu ni mpuuzi mmoja tuhunywi pombe, huvuti sigara, huna demu. ww ni mtoto wa Yesu hakika
Mzee wa desaWeka jumla basi,
Daaahh, na mimi nimechoma 156,900/= kuanzia tarehe 1/6/2019 hadi 8/6/2019.
Kucontrol matumizi huku ukiminimize inahitaji umakini sana
Me hata sikumbuki ni ngp?na hivi nipo roughly,itakuwa imekata 200,000 n.k.Maana tangu alhamisi mpaka leo 60,000
He was serious ama kuna utani humo,aisee!, [emoji18] [emoji18] upumbavo wao ni kumpelekea sadaka?. Wachungaji Wa siku hizi nomaa[emoji23]hujawahi sikia interview yake EFM ? duuh Anthony Lusekelo keshawachana muda sana mnaompelekea pesa mkisema ni sadaka kwa bwana sijui anazifikishaga nani huko kwa bwana? mengine nimetia chumvi ila alitukana waumini maskini ni wapumbavu tena akarudia mara mbili baada ya mtangazaji kushangaa kilichotamkwa