Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

Hayo matumizi mbona yapo juu sana mkuu, unataka ununue vitu vyote kama unaishi na demu babu.

Deile nunua visamaki vya buku vile au misumari (dagaa), nyanya. Monthly nunua kitunguu, mafuta na unga wa ugali tu. Hivyo ndio masela tunavyoishi!

Sasa we unataka ununue hadi hoho,binzari, letuce,gilgilani magetoni!? Utakwama tu!!!
Mwambie mkuu
 
Jomba uko vzuri sana! Endelea hivyo Mungu atakuongeza vitu unahitaji maishani
 
Sitaacha kula kwa mama ntilie milele.......ukitaka kupika mwenyew lazima majanga kama hayo yakukute maana unataka kula vizuri zaidi ya migahawani
kwa mwez unatumia shingap?
 
Hajui watoto wa kihuni tunaishije, hapo utakuta kanunua set ya vyombo vyote adi vijiko.

Picha linaanza muhuni anasufuria, bakuli na sahani moja, kupika inatangulia mboga linafata dongo paka haruki! Ukikosea mfumo.utapata tabu ya kuosha upya sufuria.

Nafurahi sana kuona michango yako mzee wa kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii changamoto tunayo wengi sana kumbe!
Daaahh, na mimi nimechoma 156,900/= kuanzia tarehe 1/6/2019 hadi 8/6/2019.

Kucontrol matumizi huku ukiminimize inahitaji umakini sana
 
Kiukweli pesa ina katika vibaya sana. Na familia zetu za kiafrika...dah!
Me hata sikumbuki ni ngp?na hivi nipo roughly,itakuwa imekata 200,000 n.k.Maana tangu alhamisi mpaka leo 60,000
 
Kwa mshahara wa laki tano fungu lako la kumi si ni elfu 50 tu kwa mwezi? Sasa unatoa laki tatu ili uzidishiwe thawabu ama?

Na hiyo elfu 30 kila wiki ya nguo ni nguo gami hasa?
 
[emoji23]hujawahi sikia interview yake EFM ? duuh Anthony Lusekelo keshawachana muda sana mnaompelekea pesa mkisema ni sadaka kwa bwana sijui anazifikishaga nani huko kwa bwana? mengine nimetia chumvi ila alitukana waumini maskini ni wapumbavu tena akarudia mara mbili baada ya mtangazaji kushangaa kilichotamkwa
He was serious ama kuna utani humo,aisee!, [emoji18] [emoji18] upumbavo wao ni kumpelekea sadaka?. Wachungaji Wa siku hizi nomaa
 
Back
Top Bottom