Nipo single, haya ni Matumizi yangu ya wiki moja - nipe ushauri

Mwambie mkuu
 
Jomba uko vzuri sana! Endelea hivyo Mungu atakuongeza vitu unahitaji maishani
 
Sitaacha kula kwa mama ntilie milele.......ukitaka kupika mwenyew lazima majanga kama hayo yakukute maana unataka kula vizuri zaidi ya migahawani
kwa mwez unatumia shingap?
 

Nafurahi sana kuona michango yako mzee wa kazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hii changamoto tunayo wengi sana kumbe!
Daaahh, na mimi nimechoma 156,900/= kuanzia tarehe 1/6/2019 hadi 8/6/2019.

Kucontrol matumizi huku ukiminimize inahitaji umakini sana
 
Kiukweli pesa ina katika vibaya sana. Na familia zetu za kiafrika...dah!
Me hata sikumbuki ni ngp?na hivi nipo roughly,itakuwa imekata 200,000 n.k.Maana tangu alhamisi mpaka leo 60,000
 
Kwa mshahara wa laki tano fungu lako la kumi si ni elfu 50 tu kwa mwezi? Sasa unatoa laki tatu ili uzidishiwe thawabu ama?

Na hiyo elfu 30 kila wiki ya nguo ni nguo gami hasa?
 
He was serious ama kuna utani humo,aisee!, [emoji18] [emoji18] upumbavo wao ni kumpelekea sadaka?. Wachungaji Wa siku hizi nomaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…