Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ahahhahahahhah wewe mwamba. By the way tunatofautiana sana kutafsiri sadaka.. Kwa mawazo yangu finyu kusaidia ndugu na ada za watoto wa binamu ni sadaka pia.Futa sadaka weka mchele.....
Unahisi anatania ee😂He was serious ama kuna utani humo,aisee!, [emoji18] [emoji18] upumbavo wao ni kumpelekea sadaka?. Wachungaji Wa siku hizi nomaa
ewaaa😂😂 asante sana kwa kunikumbusha! sasa imagine waumini ni mafala🤣🤣🤣😂 financial servicesnadhani alisema mafala
Mfundishe maisha huyo dogo...Hayo matumizi mbona yapo juu sana mkuu, unataka ununue vitu vyote kama unaishi na demu babu.
Deile nunua visamaki vya buku vile au misumari (dagaa), nyanya. Monthly nunua kitunguu, mafuta na unga wa ugali tu. Hivyo ndio masela tunavyoishi!
Sasa we unataka ununue hadi hoho,binzari, letuce,gilgilani magetoni!? Utakwama tu!!!
Sadaka na ndugu unatoa kila wiki?
Hahaa, ntakaribia ila vipi menu itabadilika kiasi au ndyo mwendo Wa misumari[emoji3] [emoji3][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] karibu kiumeni
Jamani, anatukana sipeleki sadaka tena[emoji3] [emoji3]ewaaa[emoji23][emoji23] asante sana kwa kunikumbusha! sasa imagine waumini ni mafala🤣🤣🤣[emoji23] financial services
We sindio utakuja kubadilisha sasa. Au utagonga diko la ki hiphop?😂😂😂Hahaa, ntakaribia ila vipi menu itabadilika kiasi au ndyo mwendo Wa misumari[emoji3] [emoji3]
Sikuona akiba mkuuHata vitu vingine nimesahau
Mchele kutokana na ukubwa wa familia yangu uwa najitahidi kuweka magunia 6 mpunga ndani kila mwaka wa msimu wa mpunga ambapo gunia moja halizidi 40000
Pia naweka gunia moja la mahindi
Maharage gunia moja
Dagaa hata nusu debe kwa mwezi.
So nyama tunatumia 1kg siku ikisukumwa na mboga za majani na dagaa
Samaki ni mlo mbadala wa nyama samaki 40000 wanatutosha kwa mwezi.
Bro bado hapa kuna kusaidia ndugu na marafiki.
Nb hakuna nililofake katika matumizi haya ila kuna vitu vingi nitakuwa nimesahau.
Naomba pia ushauri japo mie naona sina namna ya kukwepa majukumu haya kwa familia yangu pendwa
Nachokiona mkuu ni kwamba bajet yako ungeweza kuminimize katika baadhi ya Mambo
Mfano mafuta ya gari 200k kwa mwezi hii kubwa(km aina ya gari unotumia haili sana wese) punguza ruti za ziada kwa gari zaidi ya kazini.
Sadaka pia naona kubwa 69,000 (ingawa hapa sijaelewa ni kwa mwezi au kwa wiki) lkn fanya kuminimize kdg walau iwe ½yake
Ges 56,000 hii pia inachanganya kdg. Ni mtungi upi mdg au mkubwa? Nakushauri tafuta ges mtungi wa kati ule ukishajaza tu miezi 2-3 ndo unaisha
NB:- Ingawa wakt mwingine kupunguza bajet siyo soln bali kuongeza kipato ndy best soln.
Sikuona akiba mkuu
We mbona sioni yakuhonga hapo?week nzima huja honga?
Naona hata maji haunywi mzeeView attachment 1122082
Kama picha inavyojionesha ndugu, wenye uzoefu na ujuzi nipeni maoni na ushauri, taie home 500