Nipo tayari kufanya kazi yoyote. Nisaidie

clinton gidioni

Senior Member
Joined
Oct 24, 2016
Posts
145
Reaction score
165
Jinsia. Mwanaume
Umri. 28
Makazi. Dar Temeke
Elimu. kidato cha nne
0694185384

Tafadhalini nipo tayari kufanya kazi ya aina yoyote tafadhali.
MKOA WOWOTE NIPO TAYARI KUFANYA KAZI IWE KAZI ZA USIKU MCHANA MIMI NIPO TAYARI.
 
ulishawahi kujaribu viwandani kaka
 
Umejaribu kutafuta connection za ujenzi wa barabara na migodini?
Ndio mkuu kwa kiasi fulani nimehangaika ila chamoto inakuja bila kuwa na mtu au refa kazi kupata inakuwa ngum mkuu kama unaweza nishika mkono nipo tayari kwenda sehem yoyote kufanya kazi
 
Shida umejifungia, hizo kazi zetu hauwezi kuzipata dar inabidi utoke.
Nimekuuliza Kama umeshawahi kufika msolwa,
Au songea kwenye makaa ya mawe.
Mimi kwa Sasa Sina kazi ila natarajia leseni IPO njiani,ikitoka na Mimi nitaanza kutoka mikoani.
Kwa Sasa siwezi kusema naweza kukuunga

Sawa mkuu shukrani sana ngoja nifanye hivo
 
Back
Top Bottom