clinton gidioni
Senior Member
- Oct 24, 2016
- 145
- 165
ulishawahi kujaribu viwandani kakaJinsia. Mwanaume
Umri. 28
Makazi. Dar Temeke
Elimu. kidato cha nne
0694185384
Tafadhalini nipo tayari kufanya kazi ya aina yoyote tafadhali.
MKOA WOWOTE NIPO TAYARI KUFANYA KAZI IWE KAZI ZA USIKU MCHANA MIMI NIPO TAYARI.
Ndio najua kuchora pia ni heavy machine operator.unakipaji chochote?
Ndio mkuu ila changamoto nayo ipata ni unapata leo kazi kesho hupati hadi pale watu wapungueulishawahi kujaribu viwandani kaka
Ndio najua kuchora pia ni heavy machine operator.
Ndio najua kuchora pia ni heavy machine operator.
ExcavatorKama machine zipi?
Excavator
Bulldozer na loler
Ndio mkuu leseni ninayo na cheti chake vyote vipoLeseni unayo?
Ndio mkuu leseni ninayo na cheti chake vyote vipo
Ndio mkuu leseni ninayo na cheti chake vyote vipo
Ndio mkuu kwa kiasi fulani nimehangaika ila chamoto inakuja bila kuwa na mtu au refa kazi kupata inakuwa ngum mkuu kama unaweza nishika mkono nipo tayari kwenda sehem yoyote kufanya kaziUmejaribu kutafuta connection za ujenzi wa barabara na migodini?
Una nyota ya punda nduguNdio mkuu kwa kiasi fulani nimehangaika ila chamoto inakuja bila kuwa na mtu au refa kazi kupata inakuwa ngum mkuu kama unaweza nishika mkono nipo tayari kwenda sehem yoyote kufanya kazi
Shukrani kwa mtazamo wakoUna nyota ya punda ndugu
Ndio mkuu kwa kiasi fulani nimehangaika ila chamoto inakuja bila kuwa na mtu au refa kazi kupata inakuwa ngum mkuu kama unaweza nishika mkono nipo tayari kwenda sehem yoyote kufanya kazi
Sawa mkuu shukrani sana ngoja nifanye hivoShida umejifungia, hizo kazi zetu hauwezi kuzipata dar inabidi utoke.
Nimekuuliza Kama umeshawahi kufika msolwa,
Au songea kwenye makaa ya mawe.
Mimi kwa Sasa Sina kazi ila natarajia leseni IPO njiani,ikitoka na Mimi nitaanza kutoka mikoani.
Kwa Sasa siwezi kusema naweza kukuunga