JF iko huru how?Kuna Mnyarwanda aliniambia anatamani sana Rwanda kuwe na mtandao huru kama JF.
swadaktaHilo halipingiki.
Hivi hii style ya kushika mikono kwa Melo ni official?? Kila picha kashika mikono hivohivoHongera JF.View attachment 2639707
huyo mwenye Tshirt nyeusi amekaa kikuda itakuwa ndie mpiga watu ban huyo.Hongera JF.View attachment 2639707
Kwa kuongozea, kuwepo option ya kublock mtu mazima, sio ku ignore. Yani ukimblock usimuone wala asikuone.Jamii forum technically bado inahitaji maboresho mengi mengi sanaaa mfano..
1. Editing thread title.
Hakuna sababu zozote za msingi user akikosea heading eti mpaka aombe mods warekebishe..kitaalam hil ninkosa la ki layman sana.
SULUHISHO
Consider kuweka count down timer kumpa user slot ya muda wa ku edit title.Like umaweza uka allow time window ya 15 minutes within which audting can be applied after that basi
2. CHANGE OF IDs.
Moja ya makosa ya kiufund hapa ni pindi mtu ana badili ID leo lakin cha ajab the changes applies to all the posts ambazo huyu mtu amesha post karibu 3 months ago.
Kwamfano january nili post chochote nikiwa na id ya Xyz, halaf mwez April nika change Id kuwa Cbd, JF inaruhusu post yangu ya January isomeke kama aliye post ni Cbd na Si Xyz..HII sio sawa na inaondoa kabisa u maana wa mtu kubadili ID.
Na kwa mtindo huu sasa unakuta ni easy tu mtu kuku trace akiamua.Na hili ndio linazaa fake Ids nyiing kwasababu mtu analazimika ku abandon Id ya zaman ili asijulikane.
Cha kufanya ilitakiwa Kama nimebadil Id leo bas oost zangu za jana kurud nyuma zibaki na id ya zamani.
KUNA MAPUNGUFU YAPO kama utazitazama functionalities za JF kwa jicho la ki IT kama una idea za coding
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unatafuta kuwa [mention]Moderator [/mention] tu huna lolote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo sioni pichahuyo mwenye Tshirt nyeusi amekaa kikuda itakuwa ndie mpiga watu ban huyo.
Umeanza kua chawaView attachment 2639816
Ni kweli Jamii forum bado inaweza kuonekana ya kawaida katika level za dunia lakini nathubutu kusema kwamba katika level zetu za hapa Africa, huu ndio mtando wenye wafuasi wengi na uliopangilika zaidi,
Najua wanaijeria wana forum yao inaitwa Nairaland.com, ni kongwe zaidi na ina members wengi lakini miundombinu yake ni hohe hahe!! huwezi hata kutafuta post kirahisi kwa title, huwezi kupandisha video, muziki, pdf, n.k.
Kenya Talk wamejitahidi kwenye mpangilio, kuna vitu vichache wakiongeza watakuwa sawa na jf mfano night mode, filters, n.k. Shida inakuja kwamba Kenya Talk bado members ni wachache na inapelekea michango iwe michache, kawaida sana kukuta post ina wachangiaji wasiozidi hata 10, nadhani hii ni sababu ya ugeni wake ilianzishwa mwaka 2014 wakati ambao tayari wakenya wameshazoea facebook, Ni tofauti na Jamii forums ilianza zamani miaka ya 2006
Nchi za subsaharan Africa ni hizi zetu nje ya mataifa yaliyojaa waarabu wa huko kaskazini kama Misri, Moroco, Algeria, n.k
JF staff ina visu vikali sana aisee.... nampongeza sana Mexence Mello kwa jitihada zake.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] japo sioni picha
Nawaona tu hapo wafuta nyuzi zetu wametamalakiHongera JF.View attachment 2639707
Hii picha imejumuisha na Moderators wetu wapendwa?Hongera JF.View attachment 2639707
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh vipi Modes wa kiume nao ma handsomes??JF staff ina visu vikali sana aisee.... nampongeza sana Mexence Mello kwa jitihada zake.
Hili sikubaliani nalo. Lazima uwajibike na Kila kitu ulichokiweka mtandaoni. Kukwepa kutambulika kwa uliyoyaandika ni njia mojawapo ya kushawishi iwepo furusa ya kuwepo lugha za kuudhi hapa.2. CHANGE OF IDs.
Moja ya makosa ya kiufund hapa ni pindi mtu ana badili ID leo lakin cha ajab the changes applies to all the posts ambazo huyu mtu amesha post karibu 3 months ago.
Kwamfano january nili post chochote nikiwa na id ya Xyz, halaf mwez April nika change Id kuwa Cbd, JF inaruhusu post yangu ya January isomeke kama aliye post ni Cbd na Si Xyz..HII sio sawa na inaondoa kabisa u maana wa mtu kubadili ID.
Hao hawanihusu. Nyie wanawake ndo muwatolee maoni.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aseeeeh vipi Modes wa kiume nao ma handsomes??
Maxence MeloHivi hii style ya kushika mikono kwa Melo ni official?? Kila picha kashika mikono hivohivo
Kuna aina mbalimbali za business strategies. SiseminJF wanaitumia hii. Biashara ya mtandao ni kuwa na members ama followers Sasa unadhani ili mtandao uwe na users milioni mia unatakiwa utumie njia ipi? "Tweeter" wenyewe inasemekana wanawekwa Hata "bot" kuonyesha Wana base kubwa ya members. Sasa hapo utashangaa nini?Na hili ndio linazaa fake Ids nyiing kwasababu mtu analazimika ku abandon Id ya zaman ili asijulikane.
Mkuu unaweza kuperuzi jf kwa free mode?Hilo tatizo ni vipi kwani mkuu, lipo hadi ukitia bando au ni kwa free mode ?
Edit: Nimelifatilia tatizo hili, suluhisho la kudumu ni kutumia browser kama google chrome unayoweza kuipata playstore.
Uongozi wa jamiiforums mlifanyie hili kazi maana wengi sikuhizi wamezoea app.
Pumzika kwa amani FazaUnaona hivyo Kwa sabab hakuna mtandao mwengine ila kiuhalisia ni ya kawaida sana tu. Average