Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

IMG-20171114-WA0055.jpg
Yuko mtaani sasa kila MTU anataka picha
 
Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.

Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu

Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
Hahahahahahaaaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Airtel kuna kifurushi wamekianzisha kinaitwa U900 inapendeza!
 
Hapo ni kwenye Mwendokasi au,si kuna ubuyu niliusikia kuwa wakati anaenda pale mnadani alikuwa kwenye Range?
 
Back
Top Bottom