Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Nipo tayari kumpa ajira Dr. Shika, mshahara laki 5

Dk shika ishakua brand tayar. Jina kubwa makampuni mtafuteni Mzee mfanye nae biashara hasa kwenye mambo ya promotions[emoji3][emoji3][emoji3] [HASHTAG]#itapendeza[/HASHTAG]
 
Sawa, Mkuu kumbe ni yumani fesi ilikuchanganya, just a joke tu. Muungwana alietoa offer ya kazi ana ubinadamu wa hali ya juu
Pia ni fursa ya kutembelea nyota yake. Hiyo Kik aliopata inaweza kumfanya yeyote kutajirika kupitia mgongo wake.
 
Kila la kheri.
Dr shika. Mungu akupiganie.
NDOTO ZAKO ZITIMIE[emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Dr shika na ajib ni watoto wa MUNGU Cc mtangazaji wa azam media
 
Back
Top Bottom