Midumare Ngatuni Iwato
JF-Expert Member
- Jul 13, 2016
- 1,653
- 2,045
Sijaelewa. NielewesheBaada ya siku kama 4 hivi leo ndo nimesoma na kuelewa maneno yako ya mwanzo
Yumani fesiSijaelewa. Nieleweshe
Amekuwa maarufu sana akili na shule muhimu sanaView attachment 630908 Yuko mtaani sasa kila MTU anataka picha
Hahahahahahaaaaaaa[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]Wakuu kwa moyo mkunjufu kabisa kutokana na story kwamba huyu mzee hakuwa na ajira na wakati mwingine alilala bila Kula, nipo tayari kumpatia huyu mzee ajira Mara tu atakapo maliza maswala ya kesi inayomkabili.
Nitamwajiri kama bwana masoko kwenye duka langu
Nipo serious kama kuna wandishi au askari au yeyote atakayenikutanisha naye anijulishe kwa simu hii
0653551607
Wale Wa airtel tokeni nduki..njooni umuuuAirtel kuna kifurushi wamekianzisha kinaitwa U900 inapendeza!
Baada ya siku kama 4 hivi leo ndo nimesoma na kuelewa maneno yako ya mwanzo
Yumani fesi
Siku nne au saa nne Mkuu, Maana Thread imepostiwa leo Tarehe 14/11/17 saa 5:09 pm.
Asante kwa ilo jioni njemaSawa, Mkuu kumbe ni yumani fesi ilikuchanganya, just a joke tu. Muungwana alietoa offer ya kazi ana ubinadamu wa hali ya juu
Tufanye laki sitahata me namhitaji zaidi naongeza 50
Duh, 900 itapendeza zaidi!hata me namhitaji zaidi naongeza 50