Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Hey There

Senior Member
Joined
Nov 12, 2023
Posts
120
Reaction score
372
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%

Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.

Hapa munanishauri vipi wadau.
 
huyo msichana umri bado, akili bado changa muache kwanza
Miaka 20 km buyu la chachandu ni ile iliyolala ina uchachu miaka 20 sio Mtoto ni mtu mzima tena Bora angekua Mwanaume Ila Mwanamke miaka 20 ni limama tayari hapo ni kusubiria kunyonyesha tu tena Hawa wa 2000 wanavyokua haraka km Mchicha wa Wiki siku 3 ndio kabisa
 
Back
Top Bottom