Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Kanunue ubani wahi kwao mtafute Mjomba barua Mkononi bahasha iliyonona isipungue 50k na Mama mtie 30k then subiria majibu, Pesa haijawahi kufeli na Ndoa za Kiislamu hazina mbwembwe Mahari ni msaafu na Juzu 1 unachukua mwali wako
Mkuu naona unataka kumuingiza kijana kwenye tanuri la moto!

Mapenzi ni hiari,ni feeling,anaweza akaoa kwa kufuata huo ushauri wako ila baada ya hapo atajuta,hakuna rangi ataacha kuiona,

Usilazimishe ndoa,kwanza hicho kitoto kitakuja kumsimanga huko mbeleni,kua alilazimisha tu ndoa hakutakiwa.
 
Ndoa za Kiislamu hazina Mambo mengi ni Wewe tu na Mkeka ubani Mkononi Shekhe yupo wapi linazungushwa duara inasomwa dua mchezo umeishia hapo kimbembe kipo kule kwa kina fulani hadi umeoa shughuli pevu umeiona mpaka unaingiza chombo ndani Wewe una madeni Mwili mzima
 
Jaribu kutafuta na huku unaweza ukafanikiwa kijana usichoke. Alafu zamani sisi vijana Ukitaka kuowa angalau unakuwa na sample zako kama tano hivi unathaminisha kati ya hizo sasa we umeibuka na mmoja tu kama jackpot ya Bko.
Maisha yalivyo bize hao watano wa sample unawapata wapi, sikatai unaweza kuwa na watano ila asilimia kubwa ni wale unawaingia kabisa unaona hapa hakuna mtu before ujaongia kupata wanao meet standard sio rahisi kupata wanawake tu rahisi
 
Ndoa za Kiislamu hazina Mambo mengi ni Wewe tu na Mkeka ubani Mkononi Shekhe yupo wapi linazungushwa duara inasomwa dua mchezo umeishia hapo kimbembe kipo kule kwa kina fulani hadi umeoa shughuli pevu umeiona mpaka unaingiza chombo ndani Wewe una madeni Mwili mzima
Hii ni kweli ila mtu mkubaliane kwanza
 
Fleet Tracking Officer
Sasa ofisa skia,kwa miaka yako hiyo pia we tulia angalau ufikishe 32/33 ukijipa plan ya kutafuta mke ambaye atakupenda siyo sister du mwenye kucha za bandia na nywele za rangi rangi ndefu hadi makalioni, suruali za kubana na huku akijuwa kila aina ya mitandaoni ya kijamii.
 
Maisha hayana guarantee naweza kufika hio 33 nikampata huyo mmoja then Instant akakuonesha Red Flag moja kabambe assume ukimuacha tena itachukua mika mingine mine kumtengeneza mqengine.

Huyu yupo super sana ila hapo tu ndio anazingua sasa nikifilia wanawake wasasa kupata aliye Super naona hii Sunna ya kuoa kama inanipita.
 
Sasa mbona umeanza kujitetea
Amna kumbuka nimesema binti Ana 20 so nikisema nina 29 mtu atatengeneza imagination kubwa kqamba mbonge mjibaba siunamuona yule jamaa aliyetekwa SATIVA yeye Ana miaka 27 sawa na mdogo wangu ila akimtongoza huyu binti lazima akimbie na watu wakiwaona wanawashngaa ila mimi muonekano wangu unanibeba kuwa na mwanamke hata wa 18
 
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%

Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.

Hapa munanishauri vipi wadau
Achana naye wako wengi hao hakuzaliwa peke yake
 
Back
Top Bottom