Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Ki
Kichwa kikimuuma mtu ni alarm kwamba kwenye mwili hakuko Sawa, mwanamke akikataa ndoa ni ishara Mungu ana kupenda amekupa uepuke. Ukingangania yatakayo kukuta utajuta sana alafu tayari ushaaribu mambo yako.Mabinti wengi wa umri huo hawajitambui bado wanahitaji kubadili na kuonja mapigo mbali mbali, ya warefu, wafupi, wanane, wembamba nk.
 
Vijana wa sikuhizi najaribu kuimagine how their brains works. Mtu anakuhangaisha y umbembeleze kama yai? Au bila yeye huwezi ishi? Bro wanawake ni wengi wazuri na wanahitaji watu seriously wakuishi nao fanya good choice achana na masista du a.k.a wanawake wa mjini
My plan is more about kuoa si kumuoa yeye, just kwasababu yeye ndio nipo nae na hili kutimiza plan inabidi awepo wa kuolewa.

Wengine wapo ila iyo michakato inanichosha kuanza kukimbizana upya nahitaji kuwa bize na maisha.
 
Tafuta mwanamke mke wa kawaida ambaye anaakili ya maisha msukume gurudumu. Usidanganyike na uzuri wa nje
 
Ki
Kichwa kikimuuma mtu ni alarm kwamba kwenye mwili hakuko Sawa, mwanamke akikataa ndoa ni ishara Mungu ana kupenda amekupa uepuke. Ukingangania yatakayo kukuta utajuta sana alafu tayari ushaaribu mambo yako.Mabinti wengi wa umri huo hawajitambui bado wanahitaji kubadili na kuonja mapigo mbali mbali, ya warefu, wafupi, wanane, wembamba nk.
Lakini tunanashaurianaga kuoa bikra Leo tena tunaambiana tuwafate wa juu maisha yanachachanganya
 
Tafuta mwanamke mke wa kawaida ambaye anaakili ya maisha msukume gurudumu. Usidanganyike na uzuri wa nje
Huyi ni wakawaida kilakitu hata form four ajamaliza sikukurupuka kwa bahati mbaya pale mtaani uliuliza wamama mwanamke gani anafaa wanaweza kukutajia huyu katulia hana mashogashoga
 
Mi kabla sijajuana na Team Kataa Ndoa nilimtangazia fisi flani ndoa, alikua chuo 2nd year, akaniambia kuolewa sahivi ni kama kuniambia saa 5 turudi home wakati club ndio inachangamka.

Asahivi ni moja ya wanaotumaga meseji za hivi vi-mikopo uchwara online.
 
Huyi ni wakawaida kilakitu hata form four ajamaliza sikukurupuka kwa bahati mbaya pale mtaani uliuliza wamama mwanamke gani anafaa wanaweza kukutajia huyu katulia hana mashogashoga
Mwenye maamuzi ni wewe mkuu ila usikurupuke
 
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%...
Unaulizq ifanyeje. Mpe ujauzito
 
Huenda kazi unayoifanya haimvutii au haumtimizii mahitaji yake.
Sio omba omba kabisa ila hua pesa nampa mwenyewe ndogo ndogo yaani ukimpa 7000 hadi anashangaa ficial expression mbona unampka mihela mingi.

Yaani ukimnunulia kijuisi cha jero na firigisi ya 800 ukamuwekea na hela 2000 hilo bonge la zawadi.

Ukimpa 15000 cash hio itakuwa mada kabisa mkichati lazima akuulize pesa hizi zote umenipa
 
Em weka picha yake hapa nkutabirie sasahiv utanishukuru.
 
Em weka picha yake hapa nkutabirie sasahiv utanishukuru.
Haha nawekaje picha mzee, ni kama unazuri Basic mweupe, modo hivi ila ana utoto gunia niliamua kwendanae hivyohivyo sasa hili nalo sijui katika utoto akipata mimba atakua kwa lazima sijui.
 
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%

Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.

Hapa munanishauri vipi wadau
Sisi hatuna cha kukushauri zaidi ya kwamba USIOE KISA UMRI UMEENDA, KATAA NDOA NDUGU YANGU.
 
Back
Top Bottom