Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

KABLA YA KUFUNGUA NOTIFICATIONS HUYU LAZIMA NI RARA REREE katembeza Likes
Screenshot_20240628-182838_Chrome.jpg
 
Maisha hayana guarantee naweza kufika hio 33 nikampata huyo mmoja then Instant akakuonesha Red Flag moja kabambe assume ukimuacha tena itachukua mika mingine mine kumtengeneza mqengine.

Huyu yupo super sana ila hapo tu ndio anazingua sasa nikifilia wanawake wasasa kupata aliye Super naona hii Sunna ya kuoa kama inanipita.
Wanawake hawatabiriki na kwa miaka hiyo pia akili yako itakuwa imekomaa vizuri tu kukabiliana na changamoto za wanawake.
 
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%

Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.

Hapa munanishauri vipi wadau
Mpe mimba.
 
Kaka hii miaka hakuna mke, kula usepe
 
Vijana wa sikuhizi najaribu kuimagine how their brains works. Mtu anakuhangaisha y umbembeleze kama yai? Au bila yeye huwezi ishi? Bro wanawake ni wengi wazuri na wanahitaji watu seriously wakuishi nao fanya good choice achana na masista du a.k.a wanawake wa mjini
 
Back
Top Bottom