Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Kanunue ubani wahi kwao mtafute Mjomba barua Mkononi bahasha iliyonona isipungue 50k na Mama mtie 30k then subiria majibu, Pesa haijawahi kufeli na Ndoa za Kiislamu hazina mbwembwe Mahari ni msaafu na Juzu 1 unachukua mwali wako
Mahari zote zipo tayari hadi Bimkubwa anamkubali
 
Basi kama siyo wewe, fungua kwenye simu yako hadi ukute neno phone book. Hapo search Jina lake kisha bonyeza sehemu imeandikwa DELETE. Baada ya hapo mpotezee wanawake wapo wengi sana, mwanamke kama hataki kuolewa achana nae itakuja kukugharimu baadae.
Kama ushauri mzuri maana naona kama pia hisia zimepungua hata siku sasa ikipa tunawasiliana naona normal kama katoka moyoni.
 
Jaribu kutafuta na huku unaweza ukafanikiwa kijana usichoke. Alafu zamani sisi vijana Ukitaka kuowa angalau unakuwa na sample zako kama tano hivi unathaminisha kati ya hizo sasa we umeibuka na mmoja tu kama jackpot ya Bko.
 
Back
Top Bottom