Komeo Lachuma
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 7,926
- 17,030
Si kubwa kabisa, pia ndio maana nimeandika pale juu mimi 29 umri namba ila sina tofauti kabisa kimuonekano na mwenye miaka 24 mpaka muda mwengine initiatives hasira dogo tu wa 27 anakitwa dogo.
Nje ya mada kuna sehemu nilifanya kazi kuna scenario ilitokea Mlinzi akaanita "huyu dogo" nilimaindi ilikaa moyoni natafuta Angle nimchane aache ufala, alafu baadae yule mlinzi anapiga stori kwenye stori anawaambia Ana umri wa 24 mimi apo nina 29 Fala nimempita 5 ananiita dogo.
I short huyo huyu mwanamke atazeeka mimk bado naonekana kama nina 28.
Nimegundua tatizo. Una akili za kitoto. Ndo maana hata mlinzi alikuita dogo. Na huyo binti hataki kuolewa na dogo. Ukue kwanza.