Nipo tayari kumuoa ila yeye hayupo tayari, mnanishauri nini?

Muolewaji ndo mwenye maamuzi , kama hayuko tyr tafuta mwingine mwenye utayari ndo umuoe kikubwa asiwe Single mother wala Limshangazi . Kheri upate ambaye ametoa mimba kwa ajili ya kulinda umbo lake kuliko kuoa mzazi ..
Narudia oa ambaye hana mtoto na asiyekuzidi umri.
 
Si kubwa kabisa, pia ndio maana nimeandika pale juu mimi 29 umri namba ila sina tofauti kabisa kimuonekano na mwenye miaka 24 mpaka muda mwengine initiatives hasira dogo tu wa 27 anakitwa dogo.

Nje ya mada kuna sehemu nilifanya kazi kuna scenario ilitokea Mlinzi akaanita "huyu dogo" nilimaindi ilikaa moyoni natafuta Angle nimchane aache ufala, alafu baadae yule mlinzi anapiga stori kwenye stori anawaambia Ana umri wa 24 mimi apo nina 29 Fala nimempita 5 ananiita dogo.

I short huyo huyu mwanamke atazeeka mimk bado naonekana kama nina 28.

MKUU mwili ni base time kadri miaka inapanda juu mwili na activities zake zote za NDANI zinapungua 👉me siongelei physical appearance yako

Kikubwa hapa ni Nguvu Mkuu sawa utakua unaonekana young ila Nguvu za mwili zinakua chini Sana

Mwenzako ana 50 we umegonga 60 ........... Mbali Sana hapa atakusumbua na at this age wanawake Ndio huwa na appetite ya kucheat kwa kiwango kikubwa na wewe unakua umeshachoka kinguvu
 
Kuna wa kando anamkubali. Ilishawahi nitokea hivo
 
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%

Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.

Hapa munanishauri vipi wadau
Mshukuru MUNGU, anakuepusha na uamuzi mbaya . Usioe kwa ajili
1. Ww umri umeenda.
2. Kwa sababu katulia, huyo hajatulia hana tu options. ( Akitoka kushona hana mambo mengine) Ngoja ayapate. Angekuw ana options lakin bado kachagua kuto kuzifata ✔️.

Bro, usio vibinti 19-24, wengi bado wanataka ku exprole ulimwengu, ikifika ktk 27+ Kuna rangi za ajabu unaweza kuziona.

Usioe mwanamke anaye jitafuta, fukara, anaweza olewa nawe sababu ya ku survive GET READY SURVIVAL MODE IKIISHA.

Relax take your time, nenda taratibu kaka, mahusiano, divorce zinaacha alama kali akilini na mostly wanaume wanamengi ya kupoteza
 
Si kubwa kabisa, pia ndio maana nimeandika pale juu mimi 29 umri namba ila sina tofauti kabisa kimuonekano na mwenye miaka 24 mpaka muda mwengine initiatives hasira dogo tu wa 27 anakitwa dogo.

Nje ya mada kuna sehemu nilifanya kazi kuna scenario ilitokea Mlinzi akaanita "huyu dogo" nilimaindi ilikaa moyoni natafuta Angle nimchane aache ufala, alafu baadae yule mlinzi anapiga stori kwenye stori anawaambia Ana umri wa 24 mimi apo nina 29 Fala nimempita 5 ananiita dogo.

I short huyo huyu mwanamke atazeeka mimk bado naonekana kama nina 28.
Ni kawaida hyo mim mwenyew nipo kwenye late 20's lakin wadada weng wanajua nipo na miaka 24 au 25 huw nawatania unajua mm ni kaka yenu hawaamini, utani mwing sana lakin iko hivi mwanaume usije ukajichanganya kuoa mwanamke unayelingana naye umri yaan wanazeeka haraka sana hawa viumbe!!!
 
kwa mwanaume na mwanamke si kubwa sana.

Muangalie Majizo na Lulu Michael. Mfano mwingine, JK, na Nyalandu wamewazidi wake zao miaka zaidi ya 10.
Huyu haelewi kuwa zana ya mwanamke ni kuzeeka haraka kuliko mwanaume... Mimi baba yangu alimzidi mama miaka 10+...leo hii mama ndo ana mvi nying kichwani na huku mkoani nilipo kwa wanyakyusa wana miili mikubwa mno yaan unakuta litoto la 2005 au 2006 unaweza kulisalimia ukijua ni limama jitu zima kumbe litoto tu!!! 😀😀😀
 
MKUU mwili ni base time kadri miaka inapanda juu mwili na activities zake zote za NDANI zinapungua 👉me siongelei physical appearance yako

Kikubwa hapa ni Nguvu Mkuu sawa utakua unaonekana young ila Nguvu za mwili zinakua chini Sana

Mwenzako ana 50 we umegonga 60 ........... Mbali Sana hapa atakusumbua na at this age wanawake Ndio huwa na appetite ya kucheat kwa kiwango kikubwa na wewe unakua umeshachoka kinguvu
Mkuu huna point kaa kimya tu.... Ng'ombe hazeeki maini na ndo maana Mzee Machache alimuoa Jackline Ntuyabaliwe bila hiyana😁😁😁....
 
Mimi 29 ila kimuonekano unaweza jua 24 mpaka nikulazimishe sana ndio ukubali 29
tatizo utoto ndio unakusumbua, nini sasa hiki umeandika? Huyo dem ashaona hawezi kuolewa na mlamba lips wa makumbusho kazi kuvaa vinjubga, socks ndefu na yeboyebo na kufuga mandevu kama taliban
 
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%

Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.

Hapa munanishauri vipi wadau
Hivi ni kushona nguo au kushona cherehani? Anatoa sababu gani ya kukataa?
 
Wadau Saluti

Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%

Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.

Hapa munanishauri vipi wadau
20 yrs si mwanamke ni mtoto wa kike.
 
Back
Top Bottom