Mr Why
JF-Expert Member
- Nov 27, 2019
- 2,235
- 4,252
Kula sepa, miaka hii hakuna mkeDini inakataa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kula sepa, miaka hii hakuna mkeDini inakataa
KMMk😁umetaja jackpot mwili umesisimka.
Piga miti huku ukiendelea kutafuta mke ukishapata unaachana naye aendelee kuchezewa.Wadau Saluti
Nipo na huyu mwanamke yeye ana kama miaka 20 hivi anasifa zote za kuwa Wife Materials, yeye anashona cherehani mbali na kushona hanaga harakati nyengine yaani katulia 100%
Mimi naona umri umeenda na sio wakati wa kuwa na mahusiano yasio rasmi hivyo nataka kuoa ila nikimwambia nia yangu nikajitambulishe kwao hataki sijui utoto sijui nini. Bado naendelea nae ila namchulia mtu asiye serious kwasasa natafuta mwanamke mwengine aliye serious niende nae huyu nimbwage.
Hapa munanishauri vipi wadau
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Jibu jepesi kabisa, huyu ndezi Komeo Lachuma
Anajieleza mpaka mijasho inamtoka
dem akishakataa achana nae mkuu, oyaa fanya maisha uwe bilionea, muda hautoshi.Kwa aliyesoma mpaka chuo kawaida yeye kaishia form 3
Big Nyota Kwasababu ipi huwa wanazeeka mapema, mkuu?Ni kawaida hyo mim mwenyew nipo kwenye late 20's lakin wadada weng wanajua nipo na miaka 24 au 25 huw nawatania unajua mm ni kaka yenu hawaamini, utani mwing sana lakin iko hivi mwanaume usije ukajichanganya kuoa mwanamke unayelingana naye umri yaan wanazeeka haraka sana hawa viumbe!!!
acha shobo utainamishwaRubbish 🚮🚮
Mkuu huna point kaa kimya tu.... Ng'ombe hazeeki maini na ndo maana Mzee Machache alimuoa Jackline Ntuyabaliwe bila hiyana😁😁😁....
Tafuta mwingine uoeKwa aliyesoma mpaka chuo kawaida yeye kaishia form 3
Sawa boss oa hata aliyekuzidi umri ni sawa hayanaga fomula! 😁😁😁😁😁😁😁 MKUU hicho nnachokisema mfano nnayo tena kwa kwa baba yangu mzazi Kwaiyo usibishe kitu ambacho huna tafiti nacho kua makini utaja ujute
Ni sawa kabisa kumzidi MWANAMKE age ila isiwe Zaidi ya 6 years Mkuu
We huujui uzee Mkuu kua makini
Sawa boss oa hata aliyekuzidi umri ni sawa hayanaga fomula! 😁😁😁😁