COMMAN
Senior Member
- May 1, 2012
- 110
- 47
Mimi niko mji wa Tunduma toka siku mafuta yapande yafikie 2,900 nauli huku tunalipa 1000 ya daladala kituo kwa kituo.
Hakuna mamlaka zozote zinazokemea suala hili wiki ya pili, hakuna trafik wala sumatra wanaochukua hatua. Sasa inamaana hiyo ndo bei elekezi? Waziri.
Wakuu wa wilaya na wahusika wote, sasa hivi tunatafta hela kwa ajili ya nauli tu na mafuta ya kupikia, hebu waangalieee.
Mimi kinachoniuma siendi kazini tu, napata dharula zingine lazima nisafiri, unakuta nauli tu natumia 4000 hd 6000. Hebu piga hesabu unarnda kazini na mkeo, kutafta riziki kwa biashara ndogondogo. Mtoe nauli hiyo halafu mle huko mchana. Sasa mnarudi nyumbani na sh. ngapi isitoshe biashara halali ina faida kidogo