Nipo upande wa Manara 100% wenye akili watamuunga mkono

Manara mpuuzi tu, soka Ni pesa,uswahili pelekeni huko.

Eti alisema aliitwa na Mo akaambiwa kuwa amekuwa maarufu kuliko Mo!! Kwa hiyo afukuzwe!

Yaani bilionnaire amuite manara kumwambia kuwa amezidiwa umaarufu?

Mnaokaa upande wa manara mkapimwe akili.
🤣🤣🤣🤣
 
Wivu huo,sa kama huna vigezo yeye akusaidie nini? Lakini ndio jadi ya wavivu hasa watz hamtaki kuona mwenzenu akiwa na kitu
Nani amuonee wivu Manala wewe Mimi huyo Manala namuona kama mfanyakazi wangu wa dukani nilimuachia duka la jumla nikaenda kuichukua mchele kurudi nakuta vile nilivyoacha sivyo nilivyokuta kiasi kwamba akawa anawambia hata mademu zake kuwa duka ni lake kanunua kumfukuza akawa anawambia watu kuwa nimefikia maiti ya mtoto mchanga kwenye duka langu mpaka polisi wakaja wakafukua ikaonekana ni uongo mpaka SASA yupo ndani hivyo Haji na yeye namuona kama yule tu sababu Mimi najua kuajili mtu ambaye hana mbele wa nyuma akishapata wafuasi anakuona wewe ni taka taka SASA ukisema Mimi ni masikini nakuombea huluma sababu Mimi nimeanza kutafuta hela Nina miaka 14 na pesa niliyonayo wewe hata Nusu huifikii

Sawa, Asante
 
Watu tunazunguka zunguka tu ila ukwel kilichomuondoa haji simba ni maslai ni jambo la kawaida haikupaswa kuwa na maneno upande wowote yangepita tu haji alishapata umaarufu kupitia simba na simba na aliemfanya haji azid kuwa maarufu ni uyo uyo mo kilichotokea ni kwamba umaarufu wa haji umempa kaz nyng nzur kuliko anachopata simba na ndio maana hakuona faida kusain mkataba utakampa ela ndogo wakat nje ana mikataba mizur ningekua mm ningeacha kaz simba bila maneno nikaendelea na mishe zang ambavyo zina faida kubwa kuliko mkataba huo wa simba ,matatzo aliyoyasema haji yapo karbu kila ofisi mara nyng pesa arizik nayo mtu tunaamua kufanya kaz fulan japo kwa kipato kidogo kwa sababu hatuna kingne cha kufanya ikitokea bahat umepata sehem kuna kikubwa unafanya unaachana na kile kidogo kama haji anaona yeye alikua afanyiwi vzur wakat ana sehem nzur zaid asingefka miaka sita na pamoja na maneno yote ya haji leo hii itokee simba watangaze kaz nafas ile ya haji alaf tuone kama itakosa waombaj,suhala ni kwamba muda ukifka ata kama angekua analpwa milion mia na posho kibao bado ile nafas asingekaa milele sizan kama haji yeye malaika alaf mo na wenzako ndo binadam mapungufu yapo kwetu sote kikubwa kukaa na kuyapatia ufumbuz ikishindikana kila mmoja anaangalia pengine lkn pia sikatai hulka ya kuyasema adhalan mapunguz ya mwenzako baada ya kuachana au kugombana ni mojawapo ya tabia ya binadam
 
Asante sana kwa kujazia. Binafsi ndio maana nikasema mambo mengine ni kasoro za watu. Hata kama ni mimi ni isingeanza kuongea ongea na waandishi. Badala ya watu kugusa maslahi wanaaza kuzunguka zunguka tu ooh manara anakosea ooh kanunuliwa kumbe wapi.

Kabla hujaanza kumlaumu jiulize ningekuwa mimi ningekataa mkataba wa pesa nyingi hivyo?
 
Ata kama angekua mo mwenyewe au uyo babra ni ngum kukataa ktu ambacho kina maslai kwako kisa ushabik haji ajakosea kuacha kusain mkabata simba kwa sababu kwanza ungembana pia labda aukua na maslai kuliko iyo ya nje ,suhala ambao haji kwa upande wang naona anakosea na hajafanya vzur aya maneno yako kuanza kuwashutumu waliompa kaz mwanzo kwamba wabaya wamemnyonya au hawafai si jambo zur ata kama kuna ukwel na leo mm naweza kumuona haji mnafk hiv unaish vp na watu wabaya miaka sita ndio maana nasema alichokua anafanya haji alifanywa kwa sababu kulikua na maslai upande wake kwanza anatakiwa ashukuru mung alimpa kaz simba akapata umaaruf na kaz nyngne zur zaid ya simba kuanza kuwananga wenzake sio jambo nzur kama haji sio mnafik ayo matzo alitakiwa ayaseme kipind yupo ktk iyo nafas na pia ata haji mwenyewe leo hii aulize watu kum ambayo wanafanya kaz sehem au taasisi tofaut wote watalalamika shida zao fulan fulan kwa sababu linapokuja suhala la pesa au nafas fulan ya uongoz binadam tamaa yake apate zaid na kama watu wangeanza kuangalia madhaifu ya haji ata simba wasingempa iyo nafas watu wanaangalia mazur kwa sababu mabaya kikawaida ukiamua ni ktu ambacho kinarekebishika ,kama mo tapel au muongo au zuluma mbona akusema kipind yupo ndan ya hao simba labda aliogopa nafas yako akawa anasifia ata pasipo sahihi sasa huo ndio unafik na ayo mabaya au madhaifu ata yeye anayo suhala ni kwamba kama aliona kuna tatzo mahal angekaa nao chin viongoz wake kujadil ili ata kama siku ingetokea anaweka adhalan ingejirukana kwamba shida hii na hii kuja kuongea matatzo baada ya kutoka ni tafsir yake ni kwamba unataka kuwaarbia wenzako kwa sababu ww aupo na una sehem nyngne unapata rizk kama angekua na lengo la kurekebisha mapungufu asingesubr kutokee mvutano haji atakua ana sifa za unafik na ubinafs
 
Kwanini alikaa kimya muda wote huo,mpaka alipoondolewa ndo anapuyuka,wanaomtuma aivuruge Simba hawatoweza,Simba ipo makini sana,walipita wengi wakaiacha Simba ipo na itaendelea kuwepo.
Bado ungempinga na kuona anaivuruga klabu kama unavyoamini sasa!
 
Nawasalimuni nyote wanamichezo. Kwanza kabisa mimi ni shabiki wa Simba kabisa ila kuna kitu hakiko sawa.

Sitaki kuongelea mambo yooote sababu hayataisha ila nalenga chanzo tu. Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusu Manara kuwa anafanyaje kazi simba huku akitangaza bidhaa za Azam, hilo lipo sahihi kabisa, ndio yupo sahihi, kwani nani kamwajili Manara? Ni Simba au Mohamed enterprises? Msije kuchanganya hapo Manara anafanya kazi Simba utamlazimishaje atangaze bidhaa za bosi wake wakati ni vitengo viwili tofauti?

Kwa mfano Umeajiriwa kazi ya kuuza dukani na mmekubaliana mshahara ni 60,000, utajisikiaje boss aliekuajiri akikulazimisha jioni baada ya kufunga duka ukamsaidie kufanya kazi za nyumbani? Utakubali?.

Mambo mengine yanatokea sababu ya kutokukamilika kwa mwanadamu pamoja hasira na jazba. Manara anaipenda Simba lakini kuipenda huko hakuwezi kumfanya afanye mambo yasiyo na maslahi maishani mwake.

Watanzania acheni kuchukulia mambo powa. Kama Mo alitaka atangaze bidhaa zake angepanda dau zaidi ya azam na kama alitaka avunje mkataba angeweza kulipa gharama za kuvunjwa mkataba huo?

GENTAMYCINE Mshana Jr

HONGERA MANARA KWA KUANGALIA MASLAHI YAKO BADALA YA KUANGALIA YA WATU.
Siyo uwe upande wake tu, oaneni kabisa tujue moja.
 
Na mimi nauliza maswali machache tu. Hivi kuajiriwa mahali fulani, tena sekta binafsi, ni lazima? Kwani Manara kuondolewa Simba, hana mahali pengine akaenda kuajiriwa au kujiajiri? Kama ipo, kuna ulazima gani kulalamika kuachishwa kazi ambayo ulikuwa hata hauna mkataba? Mbona makocha wengi tu wanaachishwa kibarua baada ya muda mfupi tu, na hawaitishi press?

Mtu umeambiwa kwamba jina lako halimo kwenye msafara wa timu, kwa mapenzi yako unaamua kukata tiketi kuifuata timu. Hotel imelipiwa waliopo kwenye msafara tu, wewe unaamua kulala receiption. Hapo kosa la nani? Ukilipa nauli unadhani na chumba utapata?
Manara anajitetea juu ya kashfa na dhuluma alizofanyiwa na Barbra na Mohammed halalamiki tu. Hata ningekuwa Mimi ama wewe kama Luna kuonewa usingekubali uonewe,udhulumiwe na uchafuliwe kiasi hicho mbele ya watu wanaokupenda na kuwapenda!
 
Hizo kashfa zimewekwa hadharani na nani?
 
Nawasalimuni nyote wanamichezo. Kwanza kabisa mimi ni shabiki wa Simba kabisa ila kuna kitu hakiko sawa.

Sitaki kuongelea mambo yooote sababu hayataisha ila nalenga chanzo tu. Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusu Manara kuwa anafanyaje kazi simba huku akitangaza bidhaa za Azam, hilo lipo sahihi kabisa, ndio yupo sahihi, kwani nani kamwajili Manara? Ni Simba au Mohamed enterprises? Msije kuchanganya hapo Manara anafanya kazi Simba utamlazimishaje atangaze bidhaa za bosi wake wakati ni vitengo viwili tofauti?

Kwa mfano Umeajiriwa kazi ya kuuza dukani na mmekubaliana mshahara ni 60,000, utajisikiaje boss aliekuajiri akikulazimisha jioni baada ya kufunga duka ukamsaidie kufanya kazi za nyumbani? Utakubali?.

Mambo mengine yanatokea sababu ya kutokukamilika kwa mwanadamu pamoja hasira na jazba. Manara anaipenda Simba lakini kuipenda huko hakuwezi kumfanya afanye mambo yasiyo na maslahi maishani mwake.

Watanzania acheni kuchukulia mambo powa. Kama Mo alitaka atangaze bidhaa zake angepanda dau zaidi ya azam na kama alitaka avunje mkataba angeweza kulipa gharama za kuvunjwa mkataba huo?

GENTAMYCINE Mshana Jr

HONGERA MANARA KWA KUANGALIA MASLAHI YAKO BADALA YA KUANGALIA YA WATU.
Dah hapa nashindwa nisemeje ila nijuavyo SIMBA ni kubwa kuliko hata huyo Mooo
 
IMG_4117.jpg
 
Attachments

  • IMG_4116.jpg
    IMG_4116.jpg
    34.5 KB · Views: 1
Nawasalimuni nyote wanamichezo. Kwanza kabisa mimi ni shabiki wa Simba kabisa ila kuna kitu hakiko sawa.

Sitaki kuongelea mambo yooote sababu hayataisha ila nalenga chanzo tu. Kumekuwa na hoja nyingi sana kuhusu Manara kuwa anafanyaje kazi simba huku akitangaza bidhaa za Azam, hilo lipo sahihi kabisa, ndio yupo sahihi, kwani nani kamwajili Manara? Ni Simba au Mohamed enterprises? Msije kuchanganya hapo Manara anafanya kazi Simba utamlazimishaje atangaze bidhaa za bosi wake wakati ni vitengo viwili tofauti?

Kwa mfano Umeajiriwa kazi ya kuuza dukani na mmekubaliana mshahara ni 60,000, utajisikiaje boss aliekuajiri akikulazimisha jioni baada ya kufunga duka ukamsaidie kufanya kazi za nyumbani? Utakubali?.

Mambo mengine yanatokea sababu ya kutokukamilika kwa mwanadamu pamoja hasira na jazba. Manara anaipenda Simba lakini kuipenda huko hakuwezi kumfanya afanye mambo yasiyo na maslahi maishani mwake.

Watanzania acheni kuchukulia mambo powa. Kama Mo alitaka atangaze bidhaa zake angepanda dau zaidi ya azam na kama alitaka avunje mkataba angeweza kulipa gharama za kuvunjwa mkataba huo?

GENTAMYCINE Mshana Jr

HONGERA MANARA KWA KUANGALIA MASLAHI YAKO BADALA YA KUANGALIA YA WATU.
Vilaza mbahangaikaaaa
 
Miaka sita inatosha. Kwani yeye alidhani hiyo ilikuwa ni life time position? Riziki yake pale Simba ndiyo imeishia hapo. Na yeye sio wakwanza kuachishwa kazi duniani. Watu waliachishwa kazi wakati wa corona, mbona hawakuropoka mambo ya ofisini mitandaoni!!!!
Labda hii ni blessing in disguise, who knows. Ila tu mbele ya safari ajifunze kufunga break na mdomo wake na ache tabia ya ku-freak out kwa viongozi.
 
Wenye akili za manara ni wengi watakuunga mkono.

Manara ni mbinafsi mshenzi tu.
Sasa hivi anamsifia Bakhresa kwa utajiri wake,kwa nini asiulize timu yake imepata achievement gani licha ya huo utajiri?
 
Na mimi nauliza maswali machache tu. Hivi kuajiriwa mahali fulani, tena sekta binafsi, ni lazima? Kwani Manara kuondolewa Simba, hana mahali pengine akaenda kuajiriwa au kujiajiri? Kama ipo, kuna ulazima gani kulalamika kuachishwa kazi ambayo ulikuwa hata hauna mkataba? Mbona makocha wengi tu wanaachishwa kibarua baada ya muda mfupi tu, na hawaitishi press?

Mtu umeambiwa kwamba jina lako halimo kwenye msafara wa timu, kwa mapenzi yako unaamua kukata tiketi kuifuata timu. Hotel imelipiwa waliopo kwenye msafara tu, wewe unaamua kulala receiption. Hapo kosa la nani? Ukilipa nauli unadhani na chumba utapata
Sababu kuu ya Haji Manara kuitisha ile press sio eti coz kaachishwa kazi,lengo la ile press ilikua ni kujibu tuhuma alizopewa kua anaihujumu Simba,

Yale mengine ya ziada aliyo yaongea yanaweza kua hayakua na umuhimu sana kwa yeye kuyaongea ila Haji naye ni binadamu,bila shaka maumivu ya kuambiwa anaihujumu team aliyoipenda ndio yalipelekea yeye kuongea hayo mengine.
 
Back
Top Bottom