Nipo

Nipo

Mmh! Sawa Kiongozi. Ila unajiamini sana, hadi kutoa sura yako hivyo. Ukizingatia maada unazozitoa. Ila sawa, walio na wanaokunenea mabaya wamejionea. Mungu, wa kweli awe nawe.

Ahsante!
 
mshana jr kwa kuwatisha watu hujambo. Uchawi wa Kipare si ulimalizwa na Wakahe!! Wazee tunalijua hilo. Kahe kwa Mamkare ndio top. Ugweno si kitu tena jamani, sasa tuseme umeenda wapi kuu up grade??
 
Mkuu picha yako inazua tafrani, naona sifa zinakuja...wengine wanatabiri uko na ukwanja mwingi.....wakaribishe tu pm warizike
Mimi tayari nimeshahack pm yake na nipo kwenye pm yake tayari nafuatilia pm zote kwa kina na baadae nitascreenshot pm zote na nitazitupia hapa mkuu,stay tuned!!
 
Back
Top Bottom