Heshima zenu wakubwa zangu, mie ni mgeni katika jukwaa hili, naomba mnipokee katika kujuzana na kuelimishana katika mambo yanayotutokea sisi wenyewe na ulimwengu kiujumla.
Aisee karibu sana! umwage maumivu yako humu, na upewe tiba mbadala, nadhani wewe ni ME hivyo utaleta machozi yako hapa maana hili jukwaa .... wanaongoza kwa kulia kulia, (j.....o...k...e)