Nipokeeni jamani mie mgeni humu

Nipokeeni jamani mie mgeni humu

TONY LOVE

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2015
Posts
720
Reaction score
379
Heshima zenu wakubwa zangu, mie ni mgeni katika jukwaa hili, naomba mnipokee katika kujuzana na kuelimishana katika mambo yanayotutokea sisi wenyewe na ulimwengu kiujumla.
 
hawatakiwi wageni wakati wa jotoridi kali.. subiri mawimbi yatuame..
 
Aisee karibu sana! umwage maumivu yako humu, na upewe tiba mbadala, nadhani wewe ni ME hivyo utaleta machozi yako hapa maana hili jukwaa .... wanaongoza kwa kulia kulia, (j.....o...k...e)
 
Aisee karibu sana! umwage maumivu yako humu, na upewe tiba mbadala, nadhani wewe ni ME hivyo utaleta machozi yako hapa maana hili jukwaa .... wanaongoza kwa kulia kulia, (j.....o...k...e)
Ctalia mkuu.
 
Back
Top Bottom