Hahahahahahahahahahahaaaaaa....Ukitua dar safari ya kanijo itakuwa lini?
Happy new year !!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Wa kutoka UK anasema I have got????????
Kweli bado tuna kazi pevu.
Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.
Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
Ha UA ha it needs sharp mindAnd dispensality
Teh teh teheeeeeee[emoji12] [emoji12] [emoji12]Which bird company are you rising with??
This Ki - yesterday Does Not Snake Words . He View The Trip That Cotton - Fire That We Go Pick HimWhich bird company are you rising with??
Nikitua dar nitakaa siku 3 then nitapanda bot ya azam uwelekeo zanzibar.. Eneo la barkery kata ya bubububuUkitua dar safari ya kanijo itakuwa lini?
Nashukuru mkuuHuu ni utumbo kabisa...bila shaka ww ni kilaza.
Ninaiangalia sana Tanzania nikiwa England live naifuatilia kila tukio poleni sana watanzaniniseme tu machache, TANZANIA ULIOIACHA KIPINDI HICHO SIO HII KAKA, istoshe hata kuja kwako ukatolewa VAT
Sipo apa kujiproud nipo kwa ajili ya upendo wangu kwa watanzania so ao waache tumie nitakuja kuwahi zawadi.......................................kabla hazijaisha ππ
mleta mada inaelekea sio mchoyo,ni mtu anayependa watu..........
usisikilize watu wanaokukosoa na kiingereza chako,
waambie waparaphrase maneno uliyoyaandika,kama hujaona MAJANGA hapa....ππππππππ
Nikitua dar nitakaa siku 3 then nitapanda bot ya azam uwelekeo zanzibar.. Eneo la barkery kata ya bubububu
Siko uko kabisa mkuuNgoja wataalam wa kimalkia waje kukukosoa
Uingereza ya Ras Simba?
Bora ya hayoWa kutoka UK anasema I have got????????
Kweli bado tuna kazi pevu.
Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.
Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
Siko uko kabisa mkuu