Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

hahahahahahaha jamani now mmarangu wa watu napita tu,,hahahahaha hahahahaha hahahahahhh
 
Wa kutoka UK anasema I have got????????


Kweli bado tuna kazi pevu.

Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.


Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13]
 
Ulichokiandika tumekielewa, ila logic yako ndio bado hatujaielewa! Is this an invitation, request au mtanijuaje? Au ulitaka wakushuhudie unaposukuma begi toka arrivals room? am sure watu wako yaan washkaj, ndugu,mates (soul &school) wapo au ulitaka upokelewe na jamii tu? My dear we dont have that strength please we have gone thru alot recently!
 
Which bird company are you rising with??
This Ki - yesterday Does Not Snake Words . He View The Trip That Cotton - Fire That We Go Pick Him

- Let This This Ki - Yesterday Come At Airport Then Cut Left Then Snake To The Terminal One

- If You Need To Go To The Maize Shop ( Duka La Mhindi ) Snake Faster And Go Then If You Six Six Rat Road Will Kill You Before You Plant The Car
 
niseme tu machache, TANZANIA ULIOIACHA KIPINDI HICHO SIO HII KAKA, istoshe hata kuja kwako ukatolewa VAT
Ninaiangalia sana Tanzania nikiwa England live naifuatilia kila tukio poleni sana watanzani
 
mie nitakuja kuwahi zawadi.......................................kabla hazijaisha 😉🙂

mleta mada inaelekea sio mchoyo,ni mtu anayependa watu..........

usisikilize watu wanaokukosoa na kiingereza chako,

waambie waparaphrase maneno uliyoyaandika,kama hujaona MAJANGA hapa....😀😀😀😎😎😎😎😎
Sipo apa kujiproud nipo kwa ajili ya upendo wangu kwa watanzania so ao waache tu
 
Wa kutoka UK anasema I have got????????


Kweli bado tuna kazi pevu.

Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.


Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
Bora ya hayo
 
Back
Top Bottom