Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

C'mon Julius, what is this English you are saying?

Say, "we are not allowing tribalism elements" or " Let's not allowing tribalism elements "

Which part of UK do you live?
East South London

Sijaweza kujua ilo japo nitakufahamisha mkuu tupo pa1 nitajie size ya kiatu chako

I know areas of Southwark, Lewisham, and Greenwich.

I used to work in areas nearby Canary Whalf, and Isle of Dogs.

Now I'm in Tanzania foreseeable future.

mkuu umerudi lini?

unaonaje maisha?

uminibebea markia maana nilimiss joto lakee kwa winter kamaa hii ....au hata mwenyewe si utaresponsible au

We lazima utakuwa Mhaya. Nyie jamaa kwa mbwembwe na majivuno mko mbali kwa kweli. But you never know. Anaweza akaibuka demu hapa yuko desperate akaja kweli kukupokea. Yote kwa yote safiri salama [emoji23][emoji23][emoji23]
Sio mhaya mimi mkuu mi kwetu zanzibar

Siku tatu utakazokuwa bara tuwaambie wa Massage Poular utahitaji ya Softi au Hard?

Toka Uingereza, ila mh: "I Decided to Journey to Tanzania" Hii kingereza ni ya Syria

ooh ok,ulirudi na gamba au ulikusanya mahela ya kufungulia kampuni ?lol,au vyote?lol,

Kule kupo na hali mbaya sana kwa upande wa vifaa na rasilimali lakini nataka kujihakikishai nikiingia kuanza kuchimba nnatoka na jiwe la maana.

Seriously.

Wandugu,
Je unahitaji huduma ya Massage pale ulipo (Hotelini au Nyumbani) sisi ni wataalamu wa Massage, na tunakufuata popote pale ulipo jijini Dar es Salaam. Huduma zetu ni nzuri kwa bei poa na wasafi. Pia, waweza kuja ofisini kwetu Sinza Mori karibu na Yard ya mabasi ya SHABIBY.
BEI: Half Body Massage: 50,000/=
Full Body Massage: 100,000/=
MAWASILIANO: 0785 680468 (Ms. Annastazia).

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…