Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

Nipokeeni uwanja wa ndege kwa wale Dar natoka Uingereza kimasomo

Si ungemtafta hata Morinyo akusaidie kuunda sentensi?
 
Wa kutoka UK anasema I have got????????

Kweli bado tuna kazi pevu.

Rais wangu endelea kutumia kiswahili tu, hakuna namna.

Ningekusahihisha kwa mengi lakini ngoja niishie hapo tu nisipoteze muda.
Nimechekqaaaa mpk mbavu hoiiiiii
 
mie nitakuja kuwahi zawadi.......................................kabla hazijaisha 😉🙂

mleta mada inaelekea sio mchoyo,ni mtu anayependa watu..........

usisikilize watu wanaokukosoa na kiingereza chako,

waambie waparaphrase maneno uliyoyaandika,kama hujaona MAJANGA hapa....😀😀😀😎😎😎😎😎
Hamna zawadi hapo. Jiandae kumsaidia kulipa VAT.
 
Ooh my dear. I prefer meat to fish by the way Sorry for it

Samaki Samaki is a famous restaurant in Dar-es-Salaam at Mlimani City Shopping centre.

Its an indoor air conditioned mall and has several stores, restaurants and a movie theatre, Century Cinemax which has the biggest screen in East Africa.

Its like a must go place.
 
Duh mkuu ujue Tanzania nimetoka kitambo sana
 
Tukifika MwL utaratibu ni ngoma za wapi zinakuimbia na SAA ya kuondoka utatulipia usafiri wa Dyna Clipper ya MB Rangi 03 au tuombe mwendo kasi mmoja ya Gerezani.

Kwenye ndege utakaa siti ya dirishani upande wa kulia ili ikitua utupungie tukuone au utakaa ya mbele uwe wa kwanza kushuka na rubani?
 
Back
Top Bottom