PreGE2025 Nipongeze Chadema kuwa vibaraka wa wananchi wa Jamhuri ya Muungano Tanzania

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

4 7mbatizaji

JF-Expert Member
Joined
Dec 8, 2019
Posts
11,613
Reaction score
13,543
Amani iwe kwenu watu wa Mungu wanajf popote mlipo kila mmoja kwa imani yake, ila sio kwa machawa wa ccm.( zingatia neno sio kwa machawa wa ccm)

Rejea mada tajwa.

Binafsi nachukua nafasi hii ya kipekee sana ,kukipongeza chama cha Demokrasia na maendeleo( Chadema Tz) kuonesha dunia na watanzania kwa ujumla kwamba kipo kwa ajili ya wananchi wa Tz , kuonesha kuwa chama hichi ni cha watanzania na kibaraka kwa watanzania wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.

Hii imedhibitishwa na msimamo mkali wa chama kwa niaba ya watanzania kwa kukataa kusaini kinachoitwa kanuni za uchaguzi za tume ya Taifa ya uchaguzi ili hali bila mabadiliko ya sheria za uchaguzi ili kufanya uchaguzi kuwa huru na haki kama ilivyo hitaji kuu kwa watz wa JMT.

Kama chama mmewapa heshima kubwa sana watanzania , na ni haki ya watanzania kukilinda ,kukitunza chama ichi kwa wivu mkubwa sana.

Chadema mmeandika historia kubwa sana na iliyotukuka .

Mungu ibariki Tanzania ,Mungu ibarika Chadema.
 
Kama nimekuelewa vizuri umeandika kuwapongeza chadema lkn haya maneno ungeyaweka vizuri vinginevyo wananchi hawatakuelewa.
Angalia hii sentensi
"kuonesha kuwa chama hichi ni cha watanzania na kibaraka kwa watanzania wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."
 
Kwendraaa huko hao ni vibaraka wa wazungu huwezi kumdanganya mtanzania mwenye akili
 
Kama nimekuelewa vizuri umeandika kuwapongeza chadema lkn haya maneno ungeyaweka vizuri vinginevyo wananchi hawatakuelewa.
Angalia hii sentensi
"kuonesha kuwa chama hichi ni cha watanzania na kibaraka kwa watanzania wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania."
Chadema imetuonesha kwamba ni kibaraka wetu sisi wananchi, ni chama chetu sisi wananchi period
 
Back
Top Bottom