amu
JF-Expert Member
- Aug 8, 2012
- 16,132
- 31,149
Nitafanya pale tu ubaguzi utakapopungua JF. Kuna watu hata watukane vipi hawapewi ban, kuna watu hata waposti nini kitaachwa ila wale unknowns kitafutwa mara moja au kupewa ban mara moja......haya yakiisha nitakuwa tanzanite member na sio gold
he he he sasa lowassa utamfananisha na obama?
Before anything you have to know your status