Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
I am fine brother, only that i didn't see u for a long time....
Heheh...mtaa wa pili PM ndio huwa napatikana sana sistoo!
Huku huwa naja kusabahi waungwana na kuona lipi jipya...
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am fine brother, only that i didn't see u for a long time....
hoja hii imeungwa mkono??????
Nipe sababu kuu tatu kwanini mpaka saa hizi hujalala.............
he he nilikuwa nakuwaza wewe sasa nimekuona nitalala
umeona eeeUsilale tukeshe wote.... mchana kutwa tumelala usingizi utaupatia wapi?:mwaaah:
umeona eee
hapa hapanogi bana
Hehehehe haya twenzetu mtaa wa saba....
amu wala usiongee na kichaa Arushaone. Kashindwa kumuoa Lady doctor na mpaka saa hii hajulikani alipo ndo anakujamo na mineno.jamani jamani jamani usinigombanishe na dada zangu humu ndani.
Arushaone nitakuchapa ujue
Ndiyoooooooooooooooo!!
Hommie waeza niambia kwa kuwa Gold member kirahisirahisi namna hiyo inamaanisha tumepoteza bia ngapi vile?
Baada ya kusema hayo, naomba mwongozo wako kuhusu rasimu ya katiba yetu mpya.... Eti yampasa Gold member kuwa na wake watatu me senior expert members bila kutoa mahari??
Lady doctor yuko wapi kabla hujaulizia unyumba wa jirani yako? Hahahaha....
Lady doctor yuko wapi kabla hujaulizia unyumba wa jirani yako? Hahahaha....